Masasi ni mji unaokua kwa kiasi kila kukicha.
TANROAD tunaomba mtuwekee mzunguko (round about) hapa Mataa MjiniKati katika mji wetu wa MASASi ili kufanya mji wetu upendeze zaidi maana tunaamini...
Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu zaidi ya 10 wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha gari aina ya Noah iliyokuwa inatoka Nzega kuelekea Tinde na Lori aina ya Scania lililokuwa...
Wakala wa Vipimo (WMA) umeeleza kuwa unaendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa wazalishaji, wafungashaji na wauzaji wa gesi nchini ili kuhakikisha vipimo sahihi vinazingatiwa.
Akizungumzia...
Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!
Natokea Tabora Manispaa, Kata ya Mpera, Mtaa wa Malabi.. Tumekuwa na shida ya umeme ya muda mrefu ambayo haipatiwi ufumbuzi.
Ndani ya siku 7 za week kuna siku 4 hadi 5 lazima tuwe hatuna...
"Uongezekaji wa Malori nchini umekuwa muda mrefu, tangu Mwaka 2014 tuko hapa ITV tunazungumza hili suala mpaka leo, msongamano uko mwingi tangu mzani ukiwa pale Kibaha bado kulikuwa na msongamano...
Kwa munaofahamu Tanzania Ni, Nini Hasa tangu 1985
Au tangu Uhuru Munakaribishwa Kujibu
You can mention at least one leader of Nyerere caribre if he was a good leader or we are just passing...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Nitamchukia saana binadamu yoyote yule, hususan Kiongozi mkuu kama vile Mzee Kikwete siku akinikosea yeye, mkewe au mtoto wake personally.
Ila Kwa maneno ya mitandaoni...
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari...
Sisi wakazi wa nyamongoro nyanguganwa tunateseka sana na swala la maji hii kero itaisha lini?viongozi mpo na hamsemi chochote tunaomba waziri wa maji achukue hatua kali ya kuwawajibisha watendaji...
Katika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa...
kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao...
Habari wanajamii forum,
Naomba experience kwa wadau wa forex.
Nimekuwa niki trade pullbacks strategy kwa muda hasa baada ya kusoma kitabu cha Al brook nikasema acha ni focus na hii,
Win rate kila...
Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea. Wile Karimo, Kalittle na Wachina mtaua ndugu zetu.
NB: Pombe kali feki kwa bei ya pombe OG kuweni na huruma
Kuzaliwa kwa Karen. Ipo hivi.
Kati ya mwaka 1929 na 1930, koloni la walowezi wa Uingereza nchini Kenya lilikuwa linakabiliwa na anguko kubwa la kiuchumi. Tatizo lilianza baada ya Soko la Hisa la...
Kijana mmoja ambaye bado hajatambulika jina ameuawa na watu wanaodaiwa kuwa askari wa wanyamapori baada ya kupigwa akiw ana wenzake, kwa madai kuwa ni majangili.
Maelezo zaidi kwenye video:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.