STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,421
- 7,011
Masasi ni mji unaokua kwa kiasi kila kukicha.
TANROAD tunaomba mtuwekee mzunguko (round about) hapa Mataa MjiniKati katika mji wetu wa MASASi ili kufanya mji wetu upendeze zaidi maana tunaamini siku si nyingi tunaenda kupata Makao makuu ya Mkoa wa Masasi na Manispaa kabisa.
Hapa mataa ndio maunganisho ya Barabara ya kwenda nchi jirani, mikoa na wilaya mbalimbali nchini kama Msumbiji, Zambia, Songea, Njombe, Iringa Mbeya, Tunduru, Nachingwea, Liwale, Lindi, Mtwara, Dar, Newala na Tandahimba.
Pia tunahitaji njia 4 kutoka Mwanzo mwa Mji wetu Mailisita hadi Barabara ya Tunduru Mwenge Mtapika.
Dr. Akwilapo hebu pambania haya.