Kujipendekeza, au Ingratiation, ni tabia ya mtu kujenga picha nzuri au kutafuta kibali kwa watu wenye mamlaka kwa kutumia sifa za uongo na utii uliopitiliza. Katika jamii ya sasa, tabia hii...
Mdo 10:4 SUV
[4] Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Tunaweza kufikiri tunachokifanya kila...
Katika nchi ambayo barani afrika ndiyo iliyokuwa na demokrasia bora kabisa na tume huru kweli kweli iliyowahi kuwabadilisha viongozi wa taifa hilo mara kwa mara,leo hii inashindwa kuaminika na...
Leo imeisha hivyo,
Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia...
Nywele si mapambo tu ya kichwa Katika mitazamo ya kale ya Kiafrika bali ni kiungo cha kiroho, cha mawasiliano, na chemichemi ya nguvu ya mtu. Katika jamii nyingi za Kiafrika, nywele zilizingatiwa...
Kufuatia Mamlaka ya Kudhibiti Vyakula na Dawa Rwanda (FDA) kuweka zuio la baadhi ya vilevi nchini humo katika opareshi maalum ya kukamata, kuharibu na kuteketeza Pombe na Vinywaji visivyokuwa na...
1.BANDARI ipo mjini na inayataka malori kuleta na kuchukua mizigo mikubwa,mingi na mizito. 2.Viwanda vingi,vikubwa tena vikongwe vipo apo mjini kati vinataka malori kuleta na kuchukua maligafi na...
Salaam to everyone,
Its my hopes that wote mna weekend njema.
Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya...
Ilikuwa ni asubuhi tulivu wanafunzi wote tumekusanyika parade kwa ajili ya kupata maelekezo na taratibu za shule
shule yetu ilikuwa na utaratibu wa kufanya presentation ya masomo kwenye pared ya...
Wakuu Mwenye idea tushirikiane nimefanikiwa kuunda bot ya aviator ambayo inafanya kazi yenyewe Shida ni logic ya kupata Egde ya uhakika kihesabu hapo pananitoa Jasho 24/7, kama unaamini una logic...
‘Chloroform’ ni dawa isiyo na rangi na yenye harufu nzuri yenye jina la ‘IUPAC’ lijulikanalo kitaalamu kama ‘Trichloromethane’ na ina fomula ya CHCl3. Chloroform inaweza kukufanya usinzie hata...
Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni...
Wakuu salama.
Mimi ni mkristo mzuri tu na imani yangu ipo kwa Mungu dhidi ya hizi dhana nyingine katika uumbaji wa Ulimwengu.
Tunajua kwamba Biblia ndio msingi wa imani ya kikristo na pia ndio...
Kuna msikiti na madrasa vinajengwa jirani kabisa na nyumbani kwangu mimi ni mkristo, je wakristo wenzangu wenye uzoefu na mambo hayo nauliza tu kuna shida yoyote kuishi jirani na msikiti?
wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mkuranga Helen Kulwa Benjamini (kushoto) akishikana mkono na Meneja Mauzo Mwandamizi wa Kanda ya Dar es salaam na Pwani wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc...
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia...
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.