Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAKALA YA BARABARA TANZANIA, TANROADS - IRINGA INAWATANGAZIA WAKAZI WA MKOA WA IRINGA NA WATUMIAJI WA BARABARA KUU YA TANZAM, KUTAKUWA NA MATENGENEZO YA DARAJA LA IPOGOLO KWENYE MTO RUAHA MDOGO...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Pakistan: Sadiq Masih, Mkristo mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi katika tanuri la matofali, aliuawa baada ya kupata kiu na kunywa maji kutoka kwenye chombo cha kupoozea maji (Water...
7 Reactions
79 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa...
1 Reactions
5 Replies
99 Views
Serikali iangalie hili swali aisee haiwezekani mtu ana GPA ya kuunga unga nahisi jamaa GPA yake iko below 4.5 na mimi GPA yangu ni kubwa sana yaani katika hapa ofisini hapa mimo ndiyo nina ufaulu...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
INJILI ZA KILEO zimemtengeneza tafsiri ya Mungu inayoendana na matakwa yao na tamaa zao za mwilli,yaani Mungu wa aina mpya kwa sura ya Mungu atakayewachukuliana na dhambi zao bila kuwa...
0 Reactions
20 Replies
235 Views
KAMA MWANAMKE HAJAKUOMBA PESA USIJIPENDEKEZE KUMPA. KUOMBA NI SEHEMU YA KUJISHUSHA KWAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usipendi kujiongeza kwenye ujingaujinga. Mpe hizo hela mama yako au...
12 Reactions
95 Replies
846 Views
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu...
5 Reactions
7 Replies
162 Views
Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha...
3 Reactions
7 Replies
105 Views
USIWE FUNDI GARAGE KUPOKEA WANAWAKE WALIOHARIBIKA HUKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nitaendelea kuwamezesha Doctrines kilazima lazima mpaka wenye vichwa ngumu muelewe. Usijikute Fundi...
3 Reactions
7 Replies
140 Views
ACT Wazalendo tunalaani vikali matukio yaliyoota mizizi ya askari wa hifadhi mbalimbali nchini kufanya vitendo vya kinyama kwa raia na wananchi ikiwa ni pamoja na kuwatesa, kuwadhalilisha na...
1 Reactions
9 Replies
271 Views
Kuna haja ya Tanzania kuwapumzisha kwa amani (Mercy Killing) wagonjwa walio mahututi kwa muda mrefu bila kuwa na matumaini ya kupona? Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. my own...
17 Reactions
162 Replies
29K Views
Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu...
1 Reactions
6 Replies
86 Views
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu...
4 Reactions
6 Replies
122 Views
Mambo yamebadilika wakuu siku hizi hatushindani kufyatua watoto kutokana na gharama za malezi na malengo ya kuwajengea watoto maisha mazuri. Zamani watoto waliachana kwa interval ya miaka...
1 Reactions
2 Replies
75 Views
  • Redirect
4 Reactions
– Replies
– Views
Yaani nauliza ya kwamba, ni sehemu gani ya hatari ulisha kulana na mtu mwenza wako hadi leo hii ukikumbuka unajiona sio wewe? Mimi ni juu ya ceilingboard nikitengeneza umeme dem wa boss...
2 Reactions
13 Replies
220 Views
Back
Top Bottom