Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli.
Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda.
Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama...
Kwa nini huwa unachelewa kulala?
Kawaida siku inapoanza kwa kuchomoza kwa jua, watu wengi huanza pilika za kutafuta riziki na kutimiza majukumu yao ya kila siku
Wengine huenda kazini...
REINCARNATION IS REAL
Reincarnation wazo kwamba consciousness au utambulisho wa mtu unaweza kuendelea baada ya kifo na kuonekana katika maisha mengine imejadiliwa kwa maelfu ya miaka. Lakini...
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha...
NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na...
Nipende kusema tu kwamba huu muonekano wa sasa wa JF nimeupenda sana! 😍🔥
Kwa kweli, ilikuwa ni ndoto yangu kuona siku moja JF ikiwa na theme kali, ya kisasa, na kuachana na ile theme ya zamani...
Ua la kitenge ambalo kwa kizungu laitwa COLEUS PLANT, ni mojawapo ya maajabu mengi katika tiba ya msradhi sugu.
Inawezekana unalifahamu pia unalo katika bustani yako. Jani hili linatibu maradhi...
Sanamu ya David ni moja ya kazi maarufu zaidi za uchongaji duniani, iliyotengenezwa na Michelangelo kati ya mwaka 1501 na 1504 huko Florence, Italia. Sanamu hii inamwakilisha shujaa wa Biblia...
Lucas Mwashambwa, Choicevariable na Tlaatlaah: Vijana Watatu Wenye Laana na Mikosi
Watu wa mtaa waliwaita Lucas Mwashambwa, Choicevariable, na Tlaatlaah "vijana wa mikosi." Si kwa sababu walikuwa...
John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka vijana kutumia ubunifu, sayansi na teknolojia kama nyenzo za kujenga uchumi...
Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.
Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.
Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
Jason Arday alikuwa mtu mweusi wa kwanza kuwa profesa wa Chuo Kikuu, Cambridge kule Uingereza katika umri wa miaka 37 amejiuzulu baada ya uchunguzi kufunguliwa juu ya "taarifa mpya" kuhusu vyeti...
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli...
Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda...
Wananchi mjini Makambako mkoani Njombe wameonesha kutoridhishwa na maombi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Makambako (MAKUWASA) ya kutaka ongezeko la bei ya maji ya matumizi ya...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya...
Kujipendekeza, au Ingratiation, ni tabia ya mtu kujenga picha nzuri au kutafuta kibali kwa watu wenye mamlaka kwa kutumia sifa za uongo na utii uliopitiliza. Katika jamii ya sasa, tabia hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.