Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri.
Kwa...
Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo.
Nikawa...
Katika kuzunguka mitandaoni nimekuta habari za Songea kuandaliwa kuwa jiji nikajaribu kwenda deep nione kipi kimefanya hoja hiyo hot nikaona yafuatayo:
1. UN wameitaja Songea kuwa mji unaokua kwa...
Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu...
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ambaye pia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Mo Dewji Foundation amewatahadharisha Watanzania dhidi ya Matapeli wanaotumia jina la Mo Dewji Foundation na kudanganya kuwa...
Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja...
Nimejikuta na kutana na clip ya jembe maghufuli mtandaoni.
Na Hakika alikuwa ni mtu wa kipekee sana. It was once in a lifetime.
Watanzania sisi hakika tumerogwa.. Na huu ndo ukweli Mchungu...
Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.
Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha
Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema Tanzania imepata nafasi ya kuandaa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika Agosti 5 hadi 9 mwaka huu jijini Arusha.
Amesema...
Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu...
Ningeendelea kubaki na version ya zamani
Hapa ku search jambo ina ka mlolongo
Uki post kuedit shida
Ukiweka Link ya Uzi uliopita ukibonyeza kuusoma inagoma
NIMEREJEA KWENYE WEB BROUSER KAWAIDA...
Habari wadau
Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa...
Nilifanikiwa kuirudisha akaunti yangu ya NMB kuwa active kabla ya maboresho ya mfumo, na nilikuwa nikifanya miamala bila tatizo.
Hata hivyo, baada ya maboresho hayo, nimekuwa nikishindwa kutoa...
N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya...
Kwa hiyo kolabo ya wanasiasa wa upinzani naona Kasongo na Soprono watapelekwa nyumbani asubuhi mapema. Mmoja Sugoi mwingine Tharaka.
Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.