Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma.
Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi.
Dereva wa Bodaboda alifariki...
Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo.
Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo...
Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ?
Mifano ya utapeli ni pamoja,
Unaambiwa utume pesa...
Mimi ni mkazi wa Kata ya Nyamilangano, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu matumizi ya mabomu ya machozi na Jeshi la Polisi katika maeneo ya...
Kwa mtazamo wa Wayahudi (Uyahudi):
1. Mungu kwa Wayahudi ni nani?
Wayahudi wanamwamini Mungu mmoja aliye wa milele, asiyeonekana, mwenye nguvu zote, aliyeumba ulimwengu. Anaitwa kwa majina kama...
Mimi ni mmoja wa waathirika wa ukosefu wa ajira rasmi serikalini tangu nilipohitimu chuo miaka 10 iliyopita. Kutokana na hali hiyo, nilijiongeza kwa kujifunza taaluma nyingine yenye masharti...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau...
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention..
Narudi katika...
Katika kumbo hili la wakati, hata mtu anayeonekana kupoteza fahamu za kawaida za kijamii bado anajua nguvu ya simu janja na mitandao ya kijamii. Lakini linapokuja suala la maudhui anayoyatoa kwa...
Ufafanuzi kuhusu tukio la mtu mmoja kufariki Ngorongoro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha lilipokea taarifa kuwa kuna watu wawili wanaume wamefikishwa katika Hospitali ya Lutheran Wilayani Karatu na...
Tukiwa humu tunakorofishana tunatukanana muda mwingine na muda mwingine tunafurahi pamoja, ni kama vile tuko kwenye metaverse. Unaweza pretend you have it all, umefanikiwa, umesoma sana you can be...
Mfano una miaka 27
Hujaoa wala huna mtoto
Una shahada
Huna kitanda wala asset yoyote
Huna fani yoyote
Je ungetafuta fani gani, ingeishia wapi?? Vipi kuhusu mahusiano.
Naandika hivi kwa sababu...
Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri.
Kwa...
Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo.
Nikawa...
Katika kuzunguka mitandaoni nimekuta habari za Songea kuandaliwa kuwa jiji nikajaribu kwenda deep nione kipi kimefanya hoja hiyo hot nikaona yafuatayo:
1. UN wameitaja Songea kuwa mji unaokua kwa...
Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.