Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la...
Salam wakuu.
Hongereni kwa kuendelea kuidumisha JF,
Nimekua nje ya jf kwa muda kidogo, ila hv karibuni nitarejea rasmi.
Lengo la uzi, ni kua ikiwa kuna mwana JF yupo morogoro maeneo ya mikese...
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama...
Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua...
Ninaomba kuelekezwa namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa mazao connect unaotangazwa sana na FAUSTER MNDUNDE. Kwa anayejua namba ya Fauster Mndunde nitashukuru akiniwekea hapa.
Asanteni sana.
Ukitoa wakuu wa majeshi , kuna uwezekano mkubwa abuduli licha ya kutokuwa na uongozi wowote serikalini akawa na sauti na mamlaka na akasikilizwa anachokitaka hata kwa kulazimisha kuliko makamo...
Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Binadamu au kiongozi yeyote yule hapaswi kutukanwa (Hata kama ni wa CHADEMA au CCM. Kiongozi au Binadamu anapaswa kukosolewa "in a constructive manner" na sio kutukanwa...
Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au...
Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa...
Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake.
Leo...
Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao...
A giant looks in the mirror and sees nothing ~Donda West
In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐?
Ila nikaona it's...
Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake.
Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi...
“Kingdom True Anointing Standards: A RENAISSANCE”
Ni makala ndefu, kwa sababu hata watu wamedanganywa kwa kirefu! Uongo mkubwa unahitaji maelezo Makubwa!
Mwenye moyo na nguvu na asome!
AMANI NA...
Mwalimu Christopher Mwakasege ni mtumishi wa Mungu wa muda mrefu alijitolea kufundisha neno la Mungu kwa mapana zaidi.
Amejizoelea umaarufu kwa kufundisha neno la Mungu bila kuingiza siasa...
Frustration, Frustration, Frustration.
Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa...