H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,100
- 2,079
Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.