Mnandi Jr
Member
- May 30, 2026
- 66
- 93
Salam wakuu.
Hongereni kwa kuendelea kuidumisha JF,
Nimekua nje ya jf kwa muda kidogo, ila hv karibuni nitarejea rasmi.
Lengo la uzi, ni kua ikiwa kuna mwana JF yupo morogoro maeneo ya mikese tuchekiane anipe location walau tupate viwili vitatu, nipo hapa tangu wiki iliyopita bado sijayajua maeneo vizuri.
Amani iwe nanyi nyote...