Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

True emotional whiplash is running a vast East African realm where the domestic policy is quiet, but the cross-border business imports are shockingly loud. Spare a thought for the realm’s leading...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Tazama uso wa huyu mnyama... 🐒 Nyani huyu anaitwa Bald Uakari, lakini kule Amerika Kusini anajulikana zaidi kwa jina la "English Monkey" (Kima wa Kiingereza). Sababu haina sayansi wala mambo...
2 Reactions
23 Replies
243 Views
Usidharau Mtu Kama Hujatembea Gari milioni 300, mtumbwi milioni 3. Hujui nani atakubeba ukipata tatizo. Kuna jambo moja ambalo maisha yanatufundisha kadiri tunavyosafiri na kukutana na watu...
2 Reactions
2 Replies
71 Views
Jamani , hapo Kweka ataangusha kisago cha haki kabisa!
1 Reactions
11 Replies
278 Views
Ruto, alias Kasongo ana umilia mengi!
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo Nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu
7 Reactions
8 Replies
148 Views
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Fikiria mfanyakazi anayeamka kabla ya jua kuchomoza, anapanda basi lililojaa watu, anafanya kazi kwa muda mrefu, anarudi nyumbani akiwa amechoka, kisha kesho anarudia tena. Katika mji huo huo...
1 Reactions
1 Replies
27 Views
Tumetoka mbali sana ashukuriwe RC mstaafu wa Mbeya RIP Mramba, Waziri Mrema na hata IGP mstaafu Mwema kwa kukomesha ujambazi enzi zile Pale Iringa Kipagati alitusumbua sana Kadhalika Nyau hapa...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Salaam Wananzengo wenzangu. Hawa viongozi wetu wanalipwa mshahara kiasi gani? Gharama za kuendeshea ofisi ( stationary , mafuta ya gari , posho etc) zikoje ? Huwa naona kama wanazunguka sana...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani. Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona...
2 Reactions
3 Replies
71 Views
Hi! Msije kusema sijawashauri mapema. Kero za kuajiriwa local government; 1. Unakuwa na mabosi wengi. Yaani wewe unakuwa na mabosi karibu 10. Full of stress. 2. Maslahi duni. Utagombana na ndugu...
31 Reactions
97 Replies
10K Views
Anonymous
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi...
2 Reactions
4 Replies
113 Views
Hili bato ni ngum kumeza
3 Reactions
26 Replies
300 Views
salamu wana bodi leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi. kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa...
12 Reactions
97 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Back
Top Bottom