Narudi nikiwa unstoppable.

Narudi nikiwa unstoppable.

Elevenn

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
9,908
Reaction score
19,621
A giant looks in the mirror and sees nothing ~Donda West

In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐?

Ila nikaona it's all me who's trying to give y'all the upper hand.

Sasa narudi nikiwa makini kabisa kuona ya kuwa I can't trade my worth to Undeserving people.

Ndugu zangu kuna watu ukitaka u elevate, wao kazi yao ni kukutia insecurities doubts and fear. Aina hii ya watu ni wale walokwisha kukata tamaa, ambao wanajua fika ya kuwa wewe ni nani..

Kwa maana hakuna mtu atadeal na kitu anacho jua kakizidi.. Yaani hauwezi kwenda kushindana na timu uliyo izidi kila kitu...

Sasa narudi nikiwa sina drama za kijinga tena...

Itakuwa mimi na machapisho ya kiplatinum mpaka uongozi wa jf unipe badge of honor..

I will never let any demonic entities pull me back, I will always be ten toes to my vision, goals and purpose..

Nilisoma kuhusu Joanah is it true? Aisee....ila Kadri tunavyojua how perishable these physical reality is, ndo itupe motisha ya kupiga hatua na kuishi maisha tu yatakayo.

Elevenn is officially back now.
 
K

Wewe, hii ni forum ya watu wengi, si mazungumzo ya mtu mmoja unayemfikiria kichwani. Wengi hapa tunatumia anonymous identities, kwa hiyo kuandika kana kwamba una audience binafsi inayokuhitaji au inayokuhofia ni self-aggrandisement isiyo na msingi. Hakuna anayehitaji kujua ā€œworthā€ yako, nani unamzidi, au nani anakuharibia confidence. Kama una hoja, leta hoja; kama una maarifa, yaonyeshe kwa mchango wenye substance. Usitupotezee muda kwa trailer ndefu ya kujitangaza kama ā€œGOATā€ bila kuonyesha kitu kinachostahili heshima. JF ni forum ya mijadala, si jukwaa la kujipigia debe. Rudi na substance, si majigambo.
 
K

Wewe bwege, hii ni forum ya watu wengi, si mazungumzo ya mtu mmoja unayemfikiria kichwani. Wengi hapa tunatumia anonymous identities, kwa hiyo kuandika kana kwamba una audience binafsi inayokuhitaji au inayokuhofia ni self-aggrandisement isiyo na msingi. Hakuna anayehitaji kujua ā€œworthā€ yako, nani unamzidi, au nani anakuharibia confidence. Kama una hoja, leta hoja; kama una maarifa, yaonyeshe kwa mchango wenye substance. Usitupotezee muda kwa trailer ndefu ya kujitangaza kama ā€œGOATā€ bila kuonyesha kitu kinachostahili heshima. JF ni forum ya mijadala, si jukwaa la kujipigia debe. Rudi na substance, si majigambo.
Hizi nongwa kalilie chooni maana naona nimekushika kubaya kabisa
 
Am just joking bwana..

Kwenye uzi nimeandika in a way ambayo haita expose your privacy mbona.

Mm niliimizwa na zile taarifa, that's all

Au sio

Labda nikuulize, wewe unaweza kujianzishia uzi wa kufa? Mimi siwezi kwasababu hakuna kitu nafaidika kwenye ule uzi wala jukwaani

Sijaomba msaada wa kipesa kusema kwamba nataka hela zenu
Mimi sio mfanyabiashara humu kusema kwamba navuta attention ya watu ili wanifahamu nipate kuuza nachouza

Kuna pimbi mmoja Equation x nimeona comment yake leo ati anasema nataka kuua hii ID ili nifungue nyingine...which is pure bullshit
Huyu phaller Hance Mtanashati nimeshamzoea by default huwa anawashwa
 
Mimi nilijua kabisa haudanganyi.

Hao ndo wale wale ambao mimi huwa nawaona kama energy vampires. They were trying to humble you and your situation

Achana nao, be you own you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom