Wakuu,
Kati ya Mayor na DED nani mkubwa kwa mwenzie, nani anaweza kumuamrisha mwenzie/kumpa maelekezo kikazi?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu hupata msongo wa mawazo wanapokuwa wakitazama timu zao, wanaweza kujiweka hatarini kupata mshtuko wa moyo, utafiti umeeleza.
Utafiti uliofanywa Oxford...
Sikukuu ya kurushiana chakula imezoeleka sana Spain. Mwaka 2012 sherehe hizo, zilivunja rekodi kwa kutupiana nyanya takribani tani 40 za nyanya
Mwaka huo kulikuwa na watu 40,000 waliotembelea...
Katika hotuba ya Prof Kabudi ikulu amemtaja kijana mdogo Kasmir Simba Kyuke kuwa alimnyanganya barua na kuichana, naombeni wanaomjua watupe wasifu wake kijana hodari na mchapa kazi na mwenye...
Kampuni ya Sino hydro inajenga mradi wa maji taka jijini Arusha pamoja na maeneo ya jirani. Hata hivyo kampuni hii imekuwa kero kubwa kwa wakaazi wa Arusha kwa kuharibu miundombinu ya barabara za...
Mara nyingine tena narudi kwenu kuendelea na zoezi hili maana JF inazalisha watu wapya kila siku wenda wakamfahamu.
Ana ni mtoto wa kwanza wa mzee Michael,na amezaliwa miaka ya 1978/79.Baba yake...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020.
Pia, TMA imetoa...
Poleni kwa ukimya wa siku kadhaa, tulikuwa na majadiliano na wanasherua kadhaa kupata ushauri wa namna ya kuwa salama iwapo tutaamua kuweka ushahidi ambao unaweza kuambatana na ku-reveal identity...
Mkazi wa kijiji cha Maguu wilayani Mbinga mkoani Ruvuma Erick Msuha ayesumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya yanayomsababishia kunywa lita mia moja za maji kwa saa mbili ili aendelee...
Leo Ni miaka 7 kamili tangu nimekuwa member rasmi wa JF. Safari ya JF ilianzia miaka ya 2010 hivi, pale nilipokuwa nikisearch baadhi ya taarifa kwenye browser huku results zikiniletea source ya...
Salaam wana jukwaa,
Natumai mko buheri wa afya, mwenye ugonjwa au matatizo nampa pole ,maana ndio ukubwa huo.
Hebu tuangalie hii mikopo ya wafanyakazi, maana kwa mishahara yetu hasa wa serikali...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Kasri la Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili ( Buckingham Palace), limo kwenye mtikisiko, baada ya kushtushwa na tangazo la mjukuu wake Harry na mkewe Meghan, kwamba...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 28 jela kila mmoja wafanyakazi wawili wa Benki ya NMB.
Wafanyakazi hao, Mtoro Midole na Daudi Kindamba wamehukumiwa leo Jumatatu...
Kiongozi mkuu wa kanisa la Pentecostal Power Ministry Nabii Eliya Mahela amesema hakubaliani na kile alichokifanya waziri Lugola cha Kumdhalilisha mchungaji wake pamoja na kumlazimisha kufungua...
Wadau
Kuna mjadala unaendelea live sasa hivi Voice of America kujadili hali ya kisiasa Zimbabwe. Mchabguaji mmoja amedai viongozi wengi Africa ni Watawala na sio Viongozi.
Inaonekana ipo tofauti...
Wakuu, nimekuwa natafakari kwa muda mrefu dhana hii tunayoaminishwa ya 'utawala bora' na si 'uongozi bora'. Naamini pana tofauti kabisa kati ya KUONGOZA na KUTAWALA.
Ukifuatilia mambo ya siasa...
Utafiri umeonyesha kwamba maziwa ya mgando huimarisha kinga ya mwili na kukinga dhidi ya magonjwa ya mfumo wa hewa na haswa homa ya mafua.
Prof. Dr. Nizami Duran mkuu wa Idara ya Mikrobiolojia...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu Watanzania 30 waliozamia nchini Afrika Kusini na kurudishwa nchini, baada ya kukiri na kutiwa hatiani kwa mashitaka ya kuondoka nchini...
Tanzania imepanda kwa nafasi moja juu kwa viashiria vya kutokomeza rushwa duniani kwa mujibu wa kipimo cha kiwango cha rushwa kwa nchi mbalimbali kiitwacho Corruption Perception Index (CPI)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.