Mtikisiko mwengine Kasri la Buckingham

Mtikisiko mwengine Kasri la Buckingham

Rubawa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
2,055
Reaction score
3,267
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN

Kasri la Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili ( Buckingham Palace), limo kwenye mtikisiko, baada ya kushtushwa na tangazo la mjukuu wake Harry na mkewe Meghan, kwamba wanajiondoa kwenye ratiba kuu ya shughuli zote rasmi za familia ya Ufalme. Mwana wa Ufalme Harry mwenye umri wa miaka 35 ni mdogo wa Meghan Markle kwa miaka 3 walifunga ndoa Mei 2018 na Malkia kuwapa taji la Duke na Duchess wa Sussex kama ulivyo utaratibu na mila za Ufalme..

Tangazo lao la kujiondoa kwenye shughuli zote rasmi za Ufalme ambalo halikuwa ni mshituko tu ndani ya Ufalme huo lakini kwa Waingereza kwa jumla, ni sawa na mlipuko wa bomu usikotarajiwana limesababisha mgawanyiko zaidi wa maoni kuhusu mustakbali wa Ufalme, katika wakati ambao kuna wenye fikra kwamba wakati umefika kuuzika mfumo huo na Uingereza kuwa Jamhuri.

Sababu iliotolewa na Harry na mkewe Meghan ni kwamba wamekua wakiandamwa mno na vyombo vya habari na kwamba sasa inatosha, na kwamba wamechukua uamuzi huo baada ya miezi mingi ya kutafakari na mazungumzo ya ndani. Kwa wakati huu,Harry yuko nafasi ya sita katika orodha ya urithi wa kiti cha Ufalme

Lakini kilichoibuka, si Malkia wala Prince Charles baba yake Harry, aliyeshauriwa kabla ya kutolewa taarifa. Inaelekea Harry na Meghan wanataka kujitegemea na kuacha kufaidika kutokana na fedha za walipa kodi. Ni kizazi kipya kinachohisi kuanza kuwa katika utaratibu wa Ufalme ni sawa na kuwa wafungwa na kulazimika kufuata kinachoamuliwa katika ratiba walioandaliwa ya kile kinachoitwa majukumu yao rasmi. Kwa maneno mengine wanataka kuwa sehemu ya ukoo wa Ufalme , lakini wenmye kujitegemea kifedha na kimaisha.

Kumudu kujitegemea wenyewe kwa mujibu wa wadadisi kamwe halitokuwa tatizo. Harry anasemekana kurithi kiasi ya paundi milioni 20 kutoka kwa mama yake Diana Spencer na milioni 7 alizorithi kama kitukuu kutoka kwa bibi wa bibi yake mzaa baba na mama mzazi wa Malkia Elizabeth wa pili, Elizabeth Bowes Lyon aliyefariki 2002. Pia ana mitaji mengine ya posho.

Kwa upande wake Meghan naye si mdogo kifedha, akielezwa kujikingia kitita kikubwa paundi milioni 4 kutokana na kesi iliohusiana kazi yake ya uchezaji sinema mjini Toronto alikokuwa akiishi.

Harry na Meghan wanataka kuhamia nchini Canada kuwe ndio makazi yao ya kudumu ingawa wataendelea kuwa na nyumba pia Uingereza. Lakini swali linalozusha utata ni nani wa kuhudumia ulinzi wao pamoja na mtoto wao Archie. Kugharimia ulinzi wa polisi kutahitaji mchango wa walipa kodi na hilo limeshazusha mjadala.

Kwa mujibu wa utaratibu, wote walioko kwenye ngazi za juu za ukoo wa Ufalme hupewa ulinzi.
Wataalamu wanaohusika na shughuli za usalama, wameashiria ikiwa Harry na Meghan wataamua kuhamia Canada huenda gharama za mamilioni ya dola kwa mwaka zikawaangukia walipa kodi wa Canada, ambapo tayari Waziri mkuu Justin Trudeau ameshatahadharisha itakuwa vigumu serikali yake kubeba mzigo huo.

Kikatiba Mkuu wa taifa nchini Canada ni Malkia wa Uingereza akiwakilishwa na Gavana kama zilivyo Australia,New Zeland au Jamaica kuwa si Jamhuri na pia zote wanachama wa Jumuiya ya madola-Commonwealth.

Utafiti mmoja wa wa maoni ya Waingereza kuhusu kuzuka sakata hili, uliashiria karibu theluthi mbili ya wangali wanapendelea kuendelea na mfumo wa Ufalme, kukiwa bado hakuna kilichotokeza wazi nani atamrithi Malkia kati ya mwanawe wa kiume Charles na mjukuu wake William, kaka yake Harry.

Pamoja na yaliojiri, Harry ni maarufu zaidi na kipenzi cha wengi kama alivyokuwa mama yake, kinyume na kaka yake ambaye kwa abia ni mkimya kiasi.

Harry ni kijana machachari anayependa sana kuchanganyika na watu jambo ambalo huonekana dhahiri anapokuwa na jamii kuanzia Uingereza kwenyewe hadi akiwa ziarani ugenini na hasa anapozuru miradi mbali mbali ya misaada barani Afrika.

Wazee wa kale wana msemo, “ Kasri la Mfalme huwa na mambo yake.” Kihistoria ni kweli na visa na matukio mengi hubaki siri na pale yanapojulikana huwa ni baada ya kipindi kirefu na kuwa sawa na simulizi.

Kwa kasri la Buckingham ni mtihani wa pili mkubwa kulikumba kasri la Malkia tokea mkasa wa Princess Diana na mumewe Charles. Diana alisimulia mengi yaliomsibu ndani ya kasri, na zaidi vituko na msukosuko katika ndoa yake na kushindwa kupata msaada wa wazazi wake Prince Charles, Malkia na mumewe Prince Philip, alau kumliwaza iliakabiliane na yaliyomkuta.

Alisimulia kwa uchungu kujiingiza kati katika ndoa yao kwa aliyekuwa kimada wa mumewe Camilla Parker Bowles. Ilifahamika baadaye kuwa tangu awali Charles aliikubali ndoa na Diana kuwaridhisha tu wazazi wake.Hatimaye 2005 akaowana na Carmilla.

Diana alifariki Agosti 31 mwaka 1997 katika ajali ya gari mjini Paris na mpenzi wake Dodi Fayed, mtoto wa tajiri kutoka Misri aliyekuwa mmiliki wa duka maarufu la Harrods mjini London, Mohamed Al Fayed.

Kadhia mpya ya Harry na Meghan inakumbusha msukosuko wa matukio ya 1936. Mwaka huo mwanamke wa Kimarekani aliyeachika Wallis Simpson aliuvuruga utaratibu mzima wa Ufalme wa Uingereza, uliohisi umma usingekuwa tayari kumkubali awe Malkia alipotaka kuolewa na Edward VIII ( Wa nane ).

Edward akalazimika kuchagua ni Bi Simpson au kiti cha Ufalme na akaamua kujiuzulu na kuachana na shughuli zote za Kfalme, kulienzi pendo lake na Bi Simpson . Haijafahamika kama Harry na Meghan watapoteza mataji yao ya heshima, kama ilivyotokea pia kwa mama yake Harry Princess Diana baada ya kuachana na Prince Charles.

Kuna wanaohisi mbali na sababu ilioelezwa ya kutaka kujitegemea wenyewe huenda uamuzi wa maharusi hawa wachanga ambao ndoa yao ndiyo kwanza inakaribia miaka miwili, umechangiwa na Meghan kujihisi asiyekubalika moja kwa moja kwasababu ya kuchanganya damu. Yeye ni chotara, baba Thomas Markle Mmarekani mweupe na mama Doria Ragland Mmarekani mwenye asili ya Afrika.

Alipokuwa ziarani Afrika Kusini Septemba mwaka jana, alivaa fulana iliokuwa na maandishi ya kupinga ubaguzi na kusema ,”Ninajivunia asili yangu ya pande zote mbili baba na mama na nina fahari na nilikotoka.”

Itakumbukwa pia kifo cha Diana na Dodi aliyekuwa na asili ya Kiarabu kiliacha dhana na maswali mengi ambayo hadi Leo hayakupata jibu.

Kwa sasa Harry na Meghan wanapanga kuendelea na ratiba ndogo ndogo walizopangiwa lakini sio rasmi. Pamoja na hayo Harry, baba yake , kaka yake, Malkia na maafisa husika wameshakutana kuujadili mkasa huu lakini bado hakuna maafikiano .

Pamoja na bibi yake kusema hana kipingamizi na uamuzi wa mjukuu wake na mkewe, lakini angali akitafakari na amewataka na wao wafikirie upya uamuzi wao .Meghan ambaye hakushiriki kwenye mazungumze aliondoka na mwanawe mwenye umri wa miezi saba kuelekea Canada ambako huenda akabaki kwa muda mrefu, akimuacha Harry nyumbani kuendelea na ratiba ambazo Tayari zilikuwa zimeshapangwa.
Hata hivyo kwa Harrry na Meghan inaelekea hakuna kurudi nyuma. Akizungumza katika hafla moja Jumapili iliopita Harry alisema , "kwa kweli hakukuwa na chaguo jengine," akiongeza kwamba yeye na mkewe walikuwa tayari kuendelea kumhudumia Malkia bila ya kutumia fedha za umma. Lakini bahati mbaya hilo halikuwezekana.

Mazungumzo zaidi yanaendelea pamoja na maafisa wa Malkia wa ngazi ya juu kujaribu kutafuta muwafaka kuhus uamuzi wao kutaka kujiengua na utaratibu wa ukoo wa Ufalme ili wawe huru na wajitegemee wenyewe.Hadi watakapoafikiana hali ya hewa ndani ya kasri la Buckingham bado si shwari.

Chanzo :Raia Mwema/Twitter😡mamkufunzi/ Baruapepe: mamohame55@hotmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na bibi yake kusema hana kipingamizi na uamuzi wa mjukuu wake na mkewe, lakini angali akitafakari na amewataka na wao wafikirie upya uamuzi wao .Meghan ambaye hakushiriki kwenye mazungumze aliondoka na mwanawe mwenye umari wa miaka saba kuelekea Canada ambako huenda akabaki kwa muda mrefu, akimuacha Harry nyumbani kuendelea na ratiba ambazo Tayari zilikuwa zimeshapangwa.

Niliposoma kichwa cha somo, nikajua ni mpya.
 
Kiongozi wa juu kabisa wa Canada unamjua?
 
Ninahisi assassination nyingine kwa huyu binti.
 
Walishaondoka Rasmi
Wako Canada. Ni Commoners
Harry alipanda Ndege Economy Class akashuka na mizigo yake begani.
 
Elizabeth II is Queen of Canada. However, her role is essentially ceremonial, and she does not interfere in Canadian self-governance
 
Source
Mbona hii ni Kitambo mkuu Habari ya miaka 1763–1867 o
Hutojali naomba source Ya taarifa yako mkuu
Iyeeeeee
Hii haina source, source ni kujisomea kwako mwenyewe wala si habari ya kitambo Queen Elizabeth II anaongoza mataifa kibao sana shukuru alikupa uhuru kamili Tanganyika.
.
Ana idhinisha magavana, waziri mkuu na viongozi wengine kibao yani yeye ndiye mkuu wa utawala wa Canada ila hajihusishi kabisa na siasa yuko neutral.
Malkia siku akikohoa ata sisi aturudishe tu 😝😝
 
. Elizabeth II is Queen of Canada. However, her role is essentially ceremonial, and she does not interfere in Canadian self-governance
 
Kiini macho hiko cha Wikipedia, Queen ni mtata Trudeau juzi tu kachaguliwa tena kuwa PM mpaka kaidhinishwa na malkia kama alivyofanyiwa Johnson.
.
Yani anachokifanya U.K ndicho anafanya Canada japo kuna vichache vinamzuia kikatiba
 
Mtoto wa Meghan hana "miaka" saba. Sahihisha hapo. Halafu kuandika heading "mtikisiko mwingine " una-misled watu. Tulidhani kuna kitu kingine kipya kimetokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamana huyu bibi ndo alieipa tz uhuru

Back
Top Bottom