UCHUMI KWA WASIO WACHUMI
Sio neno geni, lakini kama ilivyo kawaida kwa watu wasio na utaalamu wa somo husika kutumia maana zinazowafanya wachanganye maneno. Uchumi ni ile hali ya kufanya...
https://www.wsj.com/articles/trump-administration-plans-to-add-seven-countries-to-travel-ban-list-11579638341
Tanzania ipo Kati ya nchi zilizopigwa barn na USA habari zaidi fungua link
Sent from...
Trump Administration Plans to Expand Travel Restrictions to Seven Countries
Nations being considered for new rules: Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan, Tanzania
WASHINGTON—The...
Sijaelewa hapa USA wana nini na Watanzania, maana kule Tanzania hawana sera za kufadhili majihadi wala huwa hawaskiki sana kwenye matukio ya milipuko ya mabomu, na pia Wasomali sio wengi kule kama...
President Donald Trump may expand his controversial travel ban with an announcement expected as early as Monday, the three-year anniversary of the original order, which targeted several...
Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani.
Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe...
Bila hela mipango mingi itakwana hata ile ya kujinunulia mahitaji muhimu kama chakula na mavazi.
Simu zinazozimwa ni zile zinasaidia kukusanya hela ya kutekelezea mipango mbalimbali. Kuzizima...
Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi...
Iwe Kirusi, Kiarabu ama Kichina, au hata fizikia ya maumbo. Ubongo wa binaadamu unaweza kujifunza kitu chochote kile, hata kiwe kigumu namna gani, tena kwa haraka.
Utafiti unaonesha kuwa muda...
Wasalaam wanabodi.
Weekend iko safi kabisa wakati tukijiandaa kuuanza mwezi wa 12, mwezi ambao una mambo mengi ya kimaisha ambayo yote hukutana kwa wakati mmoja.
Mshahara wa mwezi Desemba huwa...
Salaam wanajamvi, kwa wale tuliokoshwa koshwa na rungu batili la TCRA pamoja na wapenda maendeleo wote amani iwe nanyi.
Nijielekeze kwenye mada husika..
Mh. Rais wetu ndio kioo chetu mbele ya...
Salaam wanajamvi!
Tumemalizana na kibwagizo cha Taifa kuhusu NIDA na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole bila laini hata moja kufungiwa pamoja na makelele yote na vitisho kutoka kwa...
JESHI la Polisi Zanzibar limemfukuza kazi askari polisi Hussein Yahya Rashid (36) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusababisha kifo cha Mussa Suleiman ambaye alituhumiwa kwa kosa la wizi...
Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .
Ilikua juzi nipo maeneo ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza, nilienda kufuatilia zoezi la upimaji wa viwanja unaoendelea. Basi nikiwa na wenzangu wawili tukapanda kwenye gari aina ya corolla oldmodel...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limedai kuwa limeua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, na kukamata silaha moja aina ya bastola
Jeshi hilo limesema kwamba bastola hiyo...
Katika kudhibiti elimu, tumeshuhudia serikali ya awamu ya tano kupitia mama yetu "mpendwa" Ndalichako, vyuo visivyo na ubora vimefutwa bila ajizi. Hilo ni jambo zuri.
Wasiwasi wangu ni kuwa, je...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili na kufuta baadhi ya Vyuo vilivyofungiwa mwaka 2017 na kutakiwa kufanya maboresho mbalimbali lakini hawakufanikiwa kurekebisha dosari hizo...
Watu milioni 470 ulimwenguni kote hawana ajira kabisa au hawana kazi nzuri ya kuwawezesha kujenga mustakabali bora. Hayo ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la Kazi Duniani ILO
Umoja...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, ameeleza kuwa mkoa wa Dar una upungufu wa Madarasa 381 huku Temeke pekee kukiwa na Upungufu wa Madarasa 120 kwani watoto waliofaulu kuingia kidato cha kwanza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.