Kwanini kila Ndege zetu zinapokamatwa zikiachiwa tu huru ni lazima tuzitafutie ' Matukio ' wakati wa Kuzipokea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Mbele ya Watu wenye Akili ( Uwerevu ) kutushinda na waliopata Maendeleo kutuzidi Sisi hapa huwa tunawaonyesha nini?
 
Ni lini itakuwa day off ya uongozi mkuu wa nchi kukaa uwanjani kuisubiri bombardier?
 
Familia yako inalala njaa huzungumzii hilo unakurupuka na mambo ya ndege

Ingekuwa inalala na njaa basi nadhani aliyekutapika Wodi wa Uzazi asingekuwa mara kwa mara anamuacha aliyesababisha uhifadhiwe Tumboni mwake kwa Miezi Kenda na kuja ' Kugongea ' Chakula Kwangu na hata akinilazimisha nimtimizie na lile Jukumu lingine la Kibaiolojia.
 
kwani huu uzi ni wa shombo au umeingiliwa na nini ,
anyway mtoa mada
kwani profesa kibudu kasemaje
 
Bora Mimi ' Mpumbavu ' kuliko Wewe uliye ' Mpumbavu Mwandamizi ' kabisa.
Ingekuwa inalala na njaa basi nadhani aliyekutapika Wodi wa Uzazi asingekuwa mara kwa mara anamuacha aliyesababisha uhifadhiwe Tumboni mwake kwa Miezi Kenda na kuja ' Kugongea ' Chakula Kwangu na hata akinilazimisha nimtimizie na lile Jukumu lingine la Kibaiolojia.
Pumbavu unaulizwa swali unajibu utumbo wako hapa we
Familia yako inalala njaa huzungumzii hilo unakurupuka na mambo ya ndege
Ingekuwa siyo ' Thread ' ungeifuata, Kuisoma na hadi Kuijibu hivi? Pumbavu.
Hii nayo thread? Kha! Jf
Usafi liwe Jibu Kwenye Swali la Funza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom