Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza...
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa...
Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani
Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni...
Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao.
Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu...
Kwanza kabisa kuna dhana mbaya sana kuhusu eti wanaume hawaumizwi na mapenzi... My friends si mnajioneaga jinsi wanavyojiuwa? It's no joke.
Mkimwona mwanaume haendekezi wanawake na mwenye...
MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO:
Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225)
"THREAD"
BADILIKO 1:
Ongezeko la kifungu kipya cha 9A...
Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside).
Eneo...
Viongozi wa Serikali za Wanafunzi kutoka Vyuo 12 vya Elimu ya Juu Mkoa wa Dar Es Salaam wameanza ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo hapa Nchini Ili kuangalia namna Nchi yetu...
Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka
kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻...
Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha...
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.
Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.
Na huu ndo mtego...
Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma.
Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa...
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari, kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea...
Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini...
Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.