kennyhilary
New Member
- Mar 15, 2026
- 3
- 7
Usafiri wa Ndege ni tuwachie Wana ccm Tu wenye helaTicket za Ndege Dar to Mwanza sio fair zipo juu sana ukilinganisha na miezi sita ya nyuma
Usafiri wa Ndege ni tuwachie Wana ccm Tu wenye hela
Ticket za Ndege Dar to Mwanza sio fair zipo juu sana ukilinganisha na miezi sita ya nyuma
WAIRUDISHE FAST JETTicket za Ndege Dar to Mwanza sio fair zipo juu sana ukilinganisha na miezi sita ya nyuma
Sio kweli hao jamaa wanaweka bei kubwa kuliko mashirika mengi sana wao wanawaza bei juu na baadae wanakuja kutangaza hasara..Wakati wewe ukiwa hapo unalialia kuhusu bei, huku ndege inakuwa overbooked 3 days before!
Ushauri wangu, ukijiona unasita kutoa nauli iliyotajwa, jua kabisa sio fungu lako hilo, nenda kapande SGR hadi Dodoma halafu uingie kwenye SATCO ya usiku uende Mwanza.
Wakati wewe ukiwa hapo unalialia kuhusu bei, huku ndege inakuwa overbooked 3 days before!
Ushauri wangu, ukijiona unasita kutoa nauli iliyotajwa, jua kabisa sio fungu lako hilo, nenda kapande SGR hadi Dodoma halafu uingie kwenye SATCO ya usiku uende Mwanza.
Tz ushamba Mwingi sanaSio kweli hao jamaa wanaweka bei kubwa kuliko mashirika mengi sana wao wanawaza bei juu na baadae wanakuja kutangaza hasara..
Kutoka daslm mpaka Johannesburg kwa mshirika haya bei zao ni nafuu na wengi wanaenda huko..
Air Malawi
Rwanda air
SA AirLink
Watu wengi kwa ushamba wao wanaamini ndege lazima iwe bei juu wakati kuna shirika kutoka Johannesburg kwenda Kwazulu Natala na unafika saa saba na nusu ndege ya saa nane unalipia rand 800 mpaka 1000 hiyo ni sawa na Tsh 130,000 mpaka 165,000 kwa ticket moja ya kwenda tu ukikata na ya kurudi inapungua hao Malawi ticket moja ni Laki saba wakati Twiga anaenda milioni na ushehe huko.
Hizi nauli ni one way au return?Ticket za Ndege Dar to Mwanza sio fair zipo juu sana ukilinganisha na miezi sita ya nyuma
Yaani ikiwa ndege tu hawasikii wala hawaambiwi hapa kwenda Cape Town tena ticket ukakate pale pale na ndege sio ya kusubiri utaambiwa rand chache tu ila toka Daslm kwenda sijui Songea Ticket moja ni sawa na ukakata Malawi air ukashuka Lusaka au Lilongwe ni kama wamerogwa hao jamaa..Tz ushamba Mwingi sana