Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na...
Kama kuna mtu mwenye experience kwenye placticals hizi au anayefahamu organizations, NGOs, projects au institutions zinazopokea interns, naomba anipe direction au go-ahead.
Any guidance...
Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana.
Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania...
Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa...
Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone...
Mwimbaji, Ariana Grande ameingia tena katika mvutano na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu matumizi ya muziki wake.
Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alidai kwamba nyimbo zake...
Habarini za jioni, kwa kweli leo nimepata changamoto kubwa kwa kuliwa pesa yangu. Tufupishe mada mimi nipo wilayani Kisarawe nilivuta umeme tarehe 7.2.2026 na kuanzia hapo nimekuwa nikikatwa kodi...
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma.
Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma...
UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa...
Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi
Ni pesa au Nini kilichojificha ..
Msukuma unasema kupigana short
Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October...
Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.
Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu...
"Hatutaki kumuona Rais Samia akiwa na Stress nenda ukamsaidie, Ndejembi Usifanye yale yaliyotufikisha hapa taifa linakutegemea na kila mtu anakutegemea nenda kamsaidie mama samia usiende kufanya...
Binafsi nimekuwa mtu ambaye niko so addicted na hizi vitu, huwa naondoka najipa break ila boredom inanirudiasha.
Sasa hii constant stimulation na addiction inafanya ujihisi accomplished kwa...
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi.
Jina hilo limewasilishwa kwa...
Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae)
Nitatoa mfano
Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza...
DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.