Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea. Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu...
33 Reactions
101 Replies
1K Views
  • Redirect
"Hatutaki kumuona Rais Samia akiwa na Stress nenda ukamsaidie, Ndejembi Usifanye yale yaliyotufikisha hapa taifa linakutegemea na kila mtu anakutegemea nenda kamsaidie mama samia usiende kufanya...
2 Reactions
– Replies
– Views
Binafsi nimekuwa mtu ambaye niko so addicted na hizi vitu, huwa naondoka najipa break ila boredom inanirudiasha. Sasa hii constant stimulation na addiction inafanya ujihisi accomplished kwa...
3 Reactions
14 Replies
98 Views
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi. Jina hilo limewasilishwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae) Nitatoa mfano Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza...
2 Reactions
5 Replies
180 Views
DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania. Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Safari ya maisha ni kubwa kuliko malengo na ndoto zetu, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako... Endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu...
2 Reactions
0 Replies
55 Views
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Qwaray, amesema Serikali inatoa uhamisho wa watumishi pale inapokuwa imejiridhisha kuwa bajeti ya...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Vuta picha mtu umepanga chumba,unalipa umeme,maji una mke na watoto tena wanasoma shule ya msingi au sec unawapa buku buku ya nauli kila siku ya shule na kazi yenyewe ni bodaboda ya bosi,saidia...
9 Reactions
21 Replies
436 Views
Kuanzia tu kwenye kusumbua watu na michango ya laki moja hadi kuanza kuishi kama mume na mke baada ya kuzoeana sasa kila mtu anaanza kuonesha rangi za kweli kuwa alikukubalia maana kwenu mna pesa...
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Leo August 28 unafanyika mjadala wa Jukwaa la Demokrasia ambapo wadau mbalimbali watashiriki mjadala huo akiwe Anna Tibaijuka, Jaji Msatafu, Warioba, Jenerali Ulimwengu, Shekhe Ponda, Mwabukusi...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
  • Redirect
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
2 Reactions
7 Replies
133 Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya...
4 Reactions
6 Replies
159 Views
Hapa JF kumekuwa na visa nyingi vya watu kuja na nyuz za kujikatia tamaa na wengi wao ni wanaume.hata hapa tanzania wanaume wanaongoza na viza vya kujiua. Kwa kwel maisha ya mwanaume ni mateso...
4 Reactions
12 Replies
196 Views
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika. Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii...
18 Reactions
24 Replies
462 Views
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili...
4 Reactions
0 Replies
228 Views
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya...
5 Reactions
15 Replies
310 Views
Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira...
13 Reactions
38 Replies
809 Views
Alfa Male ni nani? Ni Jambo la msingi na muhimu kujiuliza Alfa Male ni nani?. Mwanaume wa Kweli ni nani?? Katika ujuzi wangu wa masuala ya maadili na asili,naweza kumfananisha Alfa Male na...
0 Reactions
6 Replies
105 Views
Back
Top Bottom