Namwona Nchimbi akibebeshwa zigo la 29 October, 2025

Namwona Nchimbi akibebeshwa zigo la 29 October, 2025

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,578
Reaction score
29,455
Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao.

Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu wa Rais kujiuzulu na hapo hapo baada ya muda akafukuzwa na uanachama naona kabisa zigo akisukumiwa ili kumkomoa kulingana na alichokifanya ,watanzania tusishangae naliona hili kabisa time will tell!!
 
Kwa hawa wauaji wala hatutashangaa ikitokea…

Mastermind makonda na wasira unategemea nini na sponsor jekee
 
Ila ujinga ni mwingi sana huku Tanganyika. Genge zima lenye wanachama m13 kama linavyojinasibu amekosena hata mmoja mwenye akili timamu akasema NO, hatoki mtu hapa.
 
Kila mtu mpiga lamri.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Unakosea prediction, kwani alitoa kauli gani kushadidia yale matukio ya oktoba?
 
Niliandika humu Mara tu time ya Pili ilipoundwa na mkao wake wa hadidu za Rejea..na siyo yeye tu wapo vigogo wengi wataungana naye..
 
Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao.

Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu wa Rais kujiuzulu na hapo hapo baada ya muda akafukuzwa na uanachama naona kabisa zigo akisukumiwa ili kumkomoa kulingana na alichokifanya ,watanzania tusishangae naliona hili kabisa time will tell!!
Kinachotuponza ni uchawa
 
Back
Top Bottom