Katibu wa Rais Balozi Mwadini awasilisha jina la Makamu wa Rais kwa Spika Azzan Zungu

Katibu wa Rais Balozi Mwadini awasilisha jina la Makamu wa Rais kwa Spika Azzan Zungu

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
170
Reaction score
374
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu wa Rais, Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC), Brig. Jen. Nyamburi Mashauri kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge kulithibitisha au kulikataa.

1787900179669.png

1787900200447.png

1787900224704.png

1787900247461.png
 
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb) lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi.

Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig. Jen. Nyamburi Mashauri kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge.

Mapokezi ya Jina hilo yameshuhudiwa na Naibu Spika Mhe.Daniel Sillo(Mb) Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari (Mb) pamoja na Katibu wa Bunge , Ndugu Baraka Leonard.

Wengine ni Wenyeviti wa Bunge Mhe. Deogratius Mwanyika (Mb) Mhe. Najma Giga(Mb) na Mhe. Cecilia Pareso (Mb).

HQyjC1IXgAAx3iK.jpg
 
View attachment 3658540

Matumizi mabaya ya neno Mheshimiwa.

Majitu mauaji, matekaji na madhulumaji ya haki, eti yanaitwa 'mheshimiwa'!!
Unaelewa maana ya neno Mheshimiwa? Au na huko kwenye magenge yenu ya uovu, yale majitu maovu zaidi, huwa mnayaita 'mheshimiwa'?

Hao wote uliowataja, hakuna mheshimiwa hata mmoja, wote ni members wa genge la maharamia.
 
Cry more
 
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi.

Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Bal. Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig. Jen. Nyamburi Mashauri kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge.

Mapokezi ya Jina hilo yameshuhudiwa na Naibu Spika Mhe. Daniel Sillo(Mb) Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari (Mb) pamoja na Katibu wa Bunge , Ndugu Baraka Leonard.
 
Attachments

  • FB_IMG_1787898266718.jpg
    FB_IMG_1787898266718.jpg
    121.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898268745.jpg
    FB_IMG_1787898268745.jpg
    91.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898285781.jpg
    FB_IMG_1787898285781.jpg
    87.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898279081.jpg
    FB_IMG_1787898279081.jpg
    76.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898281418.jpg
    FB_IMG_1787898281418.jpg
    85.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898288369.jpg
    FB_IMG_1787898288369.jpg
    109.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898291234.jpg
    FB_IMG_1787898291234.jpg
    144.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898295580.jpg
    FB_IMG_1787898295580.jpg
    152.3 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898275030.jpg
    FB_IMG_1787898275030.jpg
    84.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898277125.jpg
    FB_IMG_1787898277125.jpg
    78.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898272958.jpg
    FB_IMG_1787898272958.jpg
    98.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898270977.jpg
    FB_IMG_1787898270977.jpg
    102.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1787898283688.jpg
    FB_IMG_1787898283688.jpg
    94.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom