Hivi ni kwa nini wanaume wanajiua?

Hivi ni kwa nini wanaume wanajiua?

Hapa JF kumekuwa na visa nyingi vya watu kuja na nyuz za kujikatia tamaa na wengi wao ni wanaume.hata hapa tanzania wanaume wanaongoza na viza vya kujiua.

Kwa kwel maisha ya mwanaume ni mateso mno ila tufe kishenzi.
Usiseme wanaume sema vijana wa kiume au wavulana ndiyo wanaongoza kwa kujiamulia mambo kujitoa uhai
 
Wanaume wanadeal na stress za kiuchumi na mapenzi ndo maana wengi hufikia hata ya kujikatia tamaa na kufanya maamuzi magumu.

Men are literally beasts of burden
 
Back
Top Bottom