Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee...
12 Reactions
25 Replies
498 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika...
3 Reactions
15 Replies
404 Views
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku. Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Hakuna kitu watesi wanakipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utatiwa unyonge kwa historia yako mwenyewe uamini kuwa maisha ya jana hayabadiliki na ukishakosea...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Kwa nini huwa tunawachukia watu fulani? Kwa nini mtu anaweza kukuambia kitu kidogo cha kukusaidia lakini ukakasirika na kumfutilia kabisa mbali na maisha yako? Nianze na hitimisho: Chuki kwa mtu...
1 Reactions
1 Replies
55 Views
Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu...
13 Reactions
110 Replies
1K Views
Mimi, (jina lako), kiumbe nisiyestahili sana wa Bwana wetu Yesu Kristo, na mtumishi wa Mungu, nakuomba, nakuita, na kukuapisha, ee Roho, kwa maji +, hewa +, moto +, na ardhi +; na kwa kila kilicho...
0 Reactions
3 Replies
58 Views
  • Redirect
𝗝𝗨𝗕𝗜𝗟𝗘𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟮𝟱 𝗬𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Agosti 30, 2026. 🕰️ 3:00 Asubuhi. 📍 Mpanda, Katavi.
0 Reactions
– Replies
– Views
Unatamani sana kuwa karibu na viongozi wakubwa, wafanya biashara wakubwa. Au watu wa aina yoyote wenye mafanikio fulani. Uwe rafiki yao wa malengo, wakukubali na wawe miongoni mwa list ya watu...
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Kanuni za asili zinafuata sheria ya asili isiyokosea the law that doesn't err" . Hakuna kinachotokea bila sababu chanzi kwa sababu katika asili kila kitu ni sababu na matokeo. Mtu ni zao la...
3 Reactions
12 Replies
168 Views
Habari za muda huu waungwana, naomba kutoa kero yangu haswa kwenye Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa, mimi ni mkazi wa Dumila. Kumekuwa na kero ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza ng'ombe...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
chukua chumvi na uibariki kwa namna hii: Nakuwekea baraka katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. Baraka ya Mungu Baba Mwenyezi iwe juu yako, na wema wote uingie ndani...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu. Nilipofika...
25 Reactions
142 Replies
2K Views
Hello Nna passport, nafikiri sheria za Tanzania hazizuii mtu kumchangia mwengine figo Kwa makubaliano yao wenyewe binafs- nitachangia figo Kwa gharama ya pesa, kiufupi tunasaidiana tu, nauza figo...
5 Reactions
78 Replies
703 Views
Mtakatifu Yohane wa Damascus (c. 675–749) alikatwa mkono wake wa kulia na Khalifa huko Damascus baada ya barua ya kughushi kutoka kwa Leo III kumshutumu kwa uongo kuwa msaliti. Mt Yohana aliomba...
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell). Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika...
4 Reactions
16 Replies
185 Views
Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Mf kuna stori niliadisiwaga na mzee mmoja mjeshi mstaafu kua TANZANIA ilishawai kua namba moja kwa ujasusi na upelelezi hapa DUNIANI tena kupitia ile mbinu pendwa ya kujifanya kichaa (UKAKASI...
2 Reactions
8 Replies
113 Views
Najua watu wanaopinga ndoa wengi hawataki tu kutimiza zile mila,taratibu na sheria za mauhusiano ya mapenz na familia ila wanashiriki ngono vizuri na wanamiliki watoto (HAWATAKI NDOA TU ila ngono...
3 Reactions
69 Replies
439 Views
Back
Top Bottom