Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli...
5 Reactions
16 Replies
465 Views
Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza. Okey lets break it down niggaz. Kubeti ni...
5 Reactions
22 Replies
347 Views
wakati huu mungu ananionesha kijana mmoja ambae amelewa sana na ametumia pesa nyingi sana kwa ajiri ya kununulia pombe kiasi kwamba mpaka anajutia, mungu ananiambia nimsihii sana uyu kijanana...
2 Reactions
8 Replies
180 Views
mimi nikiwa kama mzee wa dua nimevisikia vilio venu sigle mother wote kwa kweli mnanyanyaswa sana sasa ninasema mimi ndie nitakae kua kimbilio lenu wote mtapata falaja kwa kupitia mimi
2 Reactions
31 Replies
269 Views
He's a true definion of walking your purpose... He indeed is Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac...
15 Reactions
42 Replies
813 Views
INAWEZEKANA KUWATENGENEZA WATOTO WAKO KUWA ASKARI MASHUJAA WA KIROHO. Watoto wadogo nao wanapitia Mashambulizi ya vita vya KIROHO kutoka KWA adui,ufalme WA Giza,hawako salama. Ufalme WA Giza na...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Mambo Zenu Wanajf, Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao? Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi...
8 Reactions
30 Replies
479 Views
https://youtu.be/H2zh2PO4M00?si=hpix_Gk8rn7STHGf
2 Reactions
12 Replies
146 Views
Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake". Bilashaka neno hilo lina...
1 Reactions
6 Replies
299 Views
Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili...
3 Reactions
2 Replies
92 Views
Watu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela . SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch . Please msaada
7 Reactions
31 Replies
507 Views
Nilikuwa na tabia ya kubeti mara nyingi kwa siku kitu hiki kilikula pesa zangu bwana. Siku moja nilikaa chini na kujiuliza: “Hivi kweli hii ndiyo njia ninayotaka kuishi?” nikawaza sana na kuona...
1 Reactions
5 Replies
234 Views
Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu...
1 Reactions
7 Replies
202 Views
Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka...
5 Reactions
14 Replies
332 Views
Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo...
26 Reactions
215 Replies
29K Views
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
5codes zingatia no.3
6 Reactions
9 Replies
215 Views
Anonymous
Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha. Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino...
9 Reactions
41 Replies
453 Views
Back
Top Bottom