Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
580
Reaction score
541
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.
IMG-20260830-WA0031.jpg
 
Sijui kwanini wanatumia nguvu kubwa san kutuaminisha kuwa ni wa upande wapili.
Mara speech za kigogo
Mara mapicha mengi yupo kanisani
 
Haya mambo ya kuhabarishwa viongozi kuhudhuria ibada ni as if yalianza kusahaulika miaka ya hivi karibuni!

Bravo kama umuhimu huo umerudi maana itahamasisha jamii kumrudia Mungu.
 
Ukisikia Zanzibar kuwa Waislamu 99% basi hiyo 1% inayobaki yumo huyo jamaa yetu wa Dodoma ya kukaanga 😎
 
Hafanii na kuwa kanisani. Yeye anafanania na kuwa msikitini.
Hivi cku hizi Misikitini wameanza kuweka madawati (Forms)ya kukalia waumini?
Ilipendeza awepo kanisani.
Kama kuna kitu nyuma ya pazia ktk. picha hiyo basi ni Yale-yale
 
Back
Top Bottom