Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
7 Reactions
23 Replies
468 Views
1. Job Ndugai 2. Humphrey Polepole 3. Emmanuel Nchimbi 4. Tulia Atson 5. Philip Mpango 6. Josephat Gwajima 7. Joseph Sinde Warioba 8. Anna Tibaijuka 9. George Simbachawene
5 Reactions
6 Replies
155 Views
Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua...
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila...
8 Reactions
25 Replies
416 Views
Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali. Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha...
9 Reactions
52 Replies
424 Views
guest-1792776487
Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja...
5 Reactions
26 Replies
699 Views
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi. Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho...
5 Reactions
6 Replies
155 Views
Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi...
2 Reactions
1 Replies
143 Views
Laws and Principles za physics hapa duniani ndio kila kitu ,hakuna jambo lolote ambalo binadamu wa kawaida anaweza akalifanya bila physics kutumika. Watu pekee ambao wanaweza wakaishi bila...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa...
4 Reactions
11 Replies
148 Views
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi...
18 Reactions
644 Replies
80K Views
Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali? Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo? Tuspoangalia hili litakuwa...
3 Reactions
7 Replies
195 Views
Yaan una kuta kijana wakiume ana piga picha ana funua shati ana onyesha boxer for which reason au kavaa kata k kiasi kwamba akiinama makalio yapo njeee nashindwa kuelewa kabisa na unapo jaribu...
8 Reactions
49 Replies
436 Views
Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii. Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft)...
2 Reactions
4 Replies
180 Views
Nimesema hivyo nikiwa na maana yangu. Lissu sio mhaini bali wananchi ndio wahaini. Wao ndio walikinukisha na sio lissu au chadema. Serikali ipambane na wananchi yaan iwakamate woote nchi nzima...
4 Reactions
12 Replies
137 Views
Nanukuu mafungu yafuatayo toka kwenye kitabu pekee kitakatifu. Ufunuo wa Yohana 2:20 [20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha...
1 Reactions
3 Replies
99 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
5 Reactions
26 Replies
184 Views
Kwa nini kila mtoto anayezaliwa daresalam lazima awe na weupe cjui uzungu flani. Hata kama awe wa kiume ni kiumbe flani kama jeck wa huko, na mwisho wa siku kama hana sickle cell, moyo lazma...
4 Reactions
31 Replies
359 Views
Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu USSR
28 Reactions
124 Replies
2K Views
“A cornered animal is the most dangerous.” Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake...
39 Reactions
82 Replies
2K Views
Back
Top Bottom