Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shikamoni wakubwa zangu. Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa...
14 Reactions
97 Replies
1K Views
Watu wa Manchester upinde aya mambo huyakuti London.
0 Reactions
0 Replies
40 Views
1961 : Wakoloni na Viongozi wachache wa Tanzania 1962: TANU 1964-1965 - Karume + Nyerere 1977 : Watu 20 kwa masaa 3 bungeni 20.... Katiba mpya ????????
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Katika kukenga uelewa kuhusu Ugonjwa wa Saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OTCI), Dkt. Chrispin Kahesa...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na...
19 Reactions
114 Replies
13K Views
Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the...
3 Reactions
11 Replies
562 Views
Connecting East Africa: The Infrastructure That Binds the Region • Standard Gauge Railway (SGR) — Tanzania’s SGR is being developed toward the western corridor, connecting Dar es Salaam with the...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Mji wa birmingham, ndio unaongoza kwa kuwa na wahamiaji wengi kutoka uarabuni, hii imelepekea kuchaguana katika nafasi za juu. Uk na europe inaangamia mdogo mdogo
0 Reactions
11 Replies
239 Views
Kwenu Waislamu Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni. Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe. Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya...
5 Reactions
4 Replies
581 Views
Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili...
7 Reactions
18 Replies
279 Views
Enyi wafugaji sikieni! Katika msimu huu wa mvua unaotarajiwa kuanza nataka nilime mashamba makubwa pale Morogoro. Sasa nasikia ninyi wafugaji (wamasai n.k) huwa mnatabia ya kulisha mazao ya watu...
3 Reactions
16 Replies
213 Views
Moja ya kitu kizuri huwa ni kina pata favoritism... Ukiwa mtu mzuri au good looking utapata privilege nyingi sana! Subconsciously binadamu au mnyama yoyote kaumbwa kutukuza kitu kizuri, ndo maana...
2 Reactions
8 Replies
124 Views
Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma...
0 Reactions
2 Replies
217 Views
Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha. Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli...
5 Reactions
16 Replies
465 Views
Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza. Okey lets break it down niggaz. Kubeti ni...
5 Reactions
22 Replies
347 Views
wakati huu mungu ananionesha kijana mmoja ambae amelewa sana na ametumia pesa nyingi sana kwa ajiri ya kununulia pombe kiasi kwamba mpaka anajutia, mungu ananiambia nimsihii sana uyu kijanana...
2 Reactions
8 Replies
180 Views
mimi nikiwa kama mzee wa dua nimevisikia vilio venu sigle mother wote kwa kweli mnanyanyaswa sana sasa ninasema mimi ndie nitakae kua kimbilio lenu wote mtapata falaja kwa kupitia mimi
2 Reactions
31 Replies
269 Views
Back
Top Bottom