Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
666
Reaction score
441
DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda.

Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari St. Mary, Mpanda, mkoani Katavi.

IMG-20260830-WA0082.jpg
IMG-20260830-WA0084.jpg
IMG-20260830-WA0080.jpg
IMG-20260830-WA0086.jpg

​
 
𝗝𝗨𝗕𝗜𝗟𝗘𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟮𝟱 𝗬𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔

Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

📆 Agosti 30, 2026.
🕰️ 3:00 Asubuhi.
📍 Mpanda, Katavi.

IMG-20260830-WA0037.jpg

​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom