Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu... Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul. Mwili na akili vyote hushindwa kupata...
7 Reactions
32 Replies
338 Views
https://www.instagram.com/reel/Dcs2T6PJexM/?igsi=MXI0NWozdzNobm90aw==
3 Reactions
3 Replies
112 Views
Eti mtu anakudanganya kuwa aliacha kazi ili achome mahindi kweli? Kuna mwingine aliwahi kutudanganya eti aliacha kazi world bank ili akalime matikiti. Hawa jamaa huwa wanapata faida gani...
8 Reactions
13 Replies
165 Views
Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imesema kuwa asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofika kwa ajili ya vipimo na uchunguzi wa saratani ya matiti hugundulika wakiwa tayari wamepata uvimbe, hali...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kupitia ukurasa wake facebook, Askofu Benson Bagonza ameandika MALISA HAKUJIFICHA; ASIFICHWE Godlisten Malisa huwa hafichi maoni yake. Hafichi upendo na huruma yake kwa watu wote. Lakini pia...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inautangazia Umma kuhusu fursa tano (5) za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa ajili ya masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Ubunifu (Master of...
2 Reactions
1 Replies
129 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inapenda kuutaarifu Umma kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi...
1 Reactions
3 Replies
583 Views
Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
3 Reactions
6 Replies
257 Views
For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini...
4 Reactions
16 Replies
170 Views
Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya...
1 Reactions
6 Replies
428 Views
Nina wasiwasi kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udereva, ambao unaonekana kutokuwa na ukomo wa umri wa mtu kuendelea kuendesha gari. Kuna baadhi ya wazee ambao umri wao umeenda sana, pamoja na...
1 Reactions
16 Replies
262 Views
Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa...
7 Reactions
51 Replies
587 Views
Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali. Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo...
3 Reactions
42 Replies
821 Views
Hapo ni magumashi na wanalia timing tu, hakuna kitu wanafanya au yeye anafanya kita leta constructive change. Kubali ukatae that's a plain truth.. Kesi week nzima, haiishi... Mara mtu aambiwe...
6 Reactions
4 Replies
172 Views
Wakazi wa Kijiji cha Mbwera, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, wanalazimika kuning'iniza simu zao kwenye paa la baraza la nyumba mojawapo kijijini hapo ili kupata...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5 Mwaka huu mwezi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu...
9 Reactions
26 Replies
416 Views
Back
Top Bottom