For majority part of my life,
Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina.
Jibu limekuja,
Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini...
Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao?
Mbona technology...
Utafiti wa mwaka 2026 kutoka IWSR unaeleza kuwa 81% ya Millennials (Milenia) hunywa pombe, kiwango cha juu kuliko vizazi vingine vinavyoishi.
Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%...
Nianze na tukio lililotokea juzi na likanihuzunisha mno. Watu wa maliasili wamepita barabara ya Nangurukuru-Liwale wakakusanya na kuchukua mkaa wa walalahoi wote wanaouza mkaa barabarani, wengi ni...
Wakuu salama.
Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu...
Mtu akiwa na camera kubwa akirekodi kwenye party au barabarani unaona ni kawaida labda ni journalist au documentary maker
Lakini mtu huyo huyo akishika simu na kuanza kurekodi, unaweza hata...
Huwa najiuliza , kama taasisi ya serikali moja ya nyezo muhimu za kuboresha huduma ni kupokea maoni.
Cha ajabu TRA wakiposti wanafunga maoni, sasa naijuiliza huwa wanampostia nani sasa.
Tafrisi...
Mtandao na internet
Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet
Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila
Barabara na uchukuzi
Kuna maeneo...
Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi.
Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa...
BOMBA LA MAFUTA LA EACOP
▪︎Thamani ya Mradi: USD bilioni 3.5+ |
▪️Urefu wa Bomba: 1,443 km
▪️Mradi huu una maana gani kwa Tanzania?
▪️Miundombinu mikubwa ya nishati
▪️Ajira na biashara mpya...
Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443
Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
Kampuni hii imekuwa na kawaida ya kuwalipa wafanyakazi wake (Walinzi) kwa kucheleweshewa mishahara, mfano mwezi uliopita walilipwa tarehe 11/07/2026 huku kwa mwezi huu wa nane kukiwa hakuna hata...
Kosa kubwa ambalo hawa Wazungu na Waarabu walilifanya wakati wanatunga hizi stori zao ni kumpaka rangi MUNGU aonekane ni mkatili. Fungua vitabu vyao uone
Kwenye hivyo vitabu vyao, Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.