Kesi ya Lissu nayo imekuwa kama drama tu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,910
Reaction score
28,665
Hapo ni magumashi na wanalia timing tu, hakuna kitu wanafanya au yeye anafanya kita leta constructive change.

Kubali ukatae that's a plain truth..

Kesi week nzima, haiishi... Mara mtu aambiwe hana kesi, mara wazushe nyingine, hii yote ni kwa sababu katiba hakuna.. And that's the weapon
 
Jamaa wanafanya makusudi kuipeleka mbele ili waTanzania wazoee, wapoteze interest nayo , then wamuue katika kipindi ambacho Kila mtu atakua ameshaacha kufuatilia kinacho muandama .Wanajua wabongo ni moto wa gesi , hawawezi marathoni, nikama walivyopotea kina pole pole na the likes..!Sasahivi Kila mtu alisha wasahau
 
That's a weakness ya wamatumbi yaani wanasahau kama wanyama
 
Back
Top Bottom