Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara...
Manispaa ya Ubungo imewataka wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa zinazoweza kuambatana na hali ya El Nino katika msimu wa...
Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la...
Huku Dodoma Mpwapwa kuna hali inayoendelea kuhusu vijana waliokuwepo mtaani wanakamatwa kwa nguvu bila kujali wanafanyabiashara au la !..halafu wanaanza kufanyishwa mazoezi ya mgambo.
Wakati...
Kuna ushauri ambao unaweza kuonekana wa kawaida unapousikia, lakini ukiutafakari kwa kina unaweza kubadilisha kabisa namna unavyoishi.
“Kijana punguza mbwembwe. Siku zote mtu mwenye ndoto kubwa...
Kuna mawakili ni mabingwa wa kuanzisha kesi tu na wamebobea kuzisimamia hadi mwisho uko nao wana ujanja na utaalamu wakuwakama washtaka wao iwe kwa kweli au uwongo,pia kuna mawakili ni mafundi...
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka...
Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi.
Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu...
Kuna huu Mradi wa Maji katika Wilaya ya Mwanga, kuanzia Kileo hatuna maji kwa wiki ya tatu sasa. Hatujui tatizo ni nini.
Mradi huu ulikamilika na upo Kilimanjaro, Wilaya ya Mwanga, Kijiji cha...
Huu ni mwaka wa pili na miezi kadhaa sasa hapa eneo la Gide, Mtaa wa Kibangu, Kata ya Makbuli, Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam maji yamekuwa shida kubwa sana.
Maji yamekuwa na wastani wa kutoka...
Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.
Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa...
Kuna sehemu nadhani wanawake wanakwama haiwezekani shoga akapata bwana alafu mwanamke akabaki kua msimbe au singo mama tu (wanawake pambaneni msikubali kuzidiwa kete na hao *******)
Naomba kuuliza jamani
Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto...
Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu.
Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya amesema gharama za kupanga na kupima kiwanja kimoja katika maeneo yaliyoendelezwa zimepunguzwa hadi Shilingi 130,000, hatua...
Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.