Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na. Jacob Kasiri - Zanzibar Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA)...
1 Reactions
1 Replies
97 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
  • Featured
TAARIFA KWA UMMA KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ Dodoma 31 Agosti 2026 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake usiku wa Agosti 31, 2026, kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zikichunguzwa dhidi yake. Kwa...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kabla ya kuondoka nchini...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kutokana na kuwepo kwa taarifa za malalamiko Ikweli kuhusu kero ya malori inayodaiwa kusababishwa na uwepo wa bandari kavu (ICD) katika maeneo ya mijini, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
131 Views
Je niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye...
7 Reactions
77 Replies
712 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza waliokuwa wafanyabiashara 30 wa soko la ndizi Mabibo (Mahakama ya Ndizi)...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous
Wananchi wa Kijiji cha Kihangaiko, Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kupata fidia ya ardhi yetu iliyochukuliwa kwa ajili ya shughuli za Shule ya Kijeshi ya...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada...
2 Reactions
4 Replies
146 Views
Mdo 23:11 SUV [11] Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako...
2 Reactions
14 Replies
136 Views
  • Redirect
Baada ya miaka 30,hatimaye keefs d David akutwa na hatia katika mauaji ya Tupac Shakur!... Hakupiga risasi au kuumiza lakini alipanga,na ikatekelezwa!... Kila jambo huanza na mpango kazi kwanza...
1 Reactions
– Replies
– Views
Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local...
1 Reactions
11 Replies
275 Views
Ndugu Mshana Jr naomba kuuliza kaka Yangu. Mimi by proffesional ni dereva Class A B D na E Nataka kujifunza lugha ya kichina ili kutumia Lugha kupata pesa zaidi. Je nikisema nataka kuwekeza...
4 Reactions
7 Replies
143 Views
Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali...
2 Reactions
3 Replies
89 Views
Kulikoni sinuoni FAM mdau mkubwa wa CDM?kortini kwenye kesi ya TAL? Nimewaza tuu Kwa SAUTI. GOD HAVE MERCY OVER SISI MALAWIANS
3 Reactions
13 Replies
265 Views
Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani. ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani. Singapore,dubai na...
1 Reactions
3 Replies
138 Views
Back
Top Bottom