Wakati mwingine tunaweza kuona maendeleo yetu kuwa ni madogo kwa sababu tunaangalia sana watu walioko mbele yetu.
Unaweza kujiuliza:
“Bado sijafika kule ninapotaka, kwa hiyo kuna maendeleo...
Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika?
Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa...
Mwanaume mmoja ameripotiwa kukamatwa baada ya kutuhumiwa kufanya kitendo cha ukatili wa kingono dhidi ya samaki, huku akidai kuwa alifanya hivyo kwa sababu samaki huyo alikuwa na harufu aliyodai...
Habari wanajamii?
Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule.
Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha...
Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria...
Niliwahi kupata ufumbuzi juu ya haya mawe,lakini kwa bahati mbaya sikumaliza elimu kutoka kwa aliyekuwa akinipatia.
Je,wajuzi wana nini cha kusema kuhusu mawe haya?
Cc: Seran Mshana Jr Rakims
Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500...
Mimi mpaka leo naamini Princess DIana aliuliwa na British Royal Family
Ile ajali haikuwa ya kawaida kabisa.
Mwaka 1996, Diana aliandika barua akihofia kuwa aliyekuwa mumewe (Charles) alipanga...
Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni...
Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika.
Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia...
Kuna changamoto pale Stendi ya Magufuli, Mbezi last week mke wangu alishukia hapo Saa 5 Usiku, wakati anatoka nje walinzi walimkomalia alipie Sh 2,000 ndiyo atoke nje ya stendi.
Kwa kuwa alikuwa...
Wakubwa naaamini hum ndani Kuna watu wa wa TCRA au wizara husika , haya makampuni ya simu ni kama yanajiendeshe yenyewe / yanajiamulia mambo hizi ni kero kwangu imekuwa to much
1.kifurushi...
Abiria wa Mwendokasi tuna changamoto ya kadi kutopatikana, tukiomba kupatiwa tunaambiwa hazipo unalazimika kumbembeleza mtu akukatie ticketi kwa kadi yake.
Upande wa simu kwa watu wenye iPhone...
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama...
Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara...
Manispaa ya Ubungo imewataka wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa zinazoweza kuambatana na hali ya El Nino katika msimu wa...
Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la...
Huku Dodoma Mpwapwa kuna hali inayoendelea kuhusu vijana waliokuwepo mtaani wanakamatwa kwa nguvu bila kujali wanafanyabiashara au la !..halafu wanaanza kufanyishwa mazoezi ya mgambo.
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.