Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita...
Habari za muda huu wakuu,
Leo muda huu nimekumbana na visa vya mauza uza wakati nipo katika usingizi ilikua kama ndoto lakini ni ndoto ya uwazi yani nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa...
Boa tarde camaradas.
Tembea uyaone, zunguka ujifunze.
Hivyo ndivyo ninavyoanza kwa leo.
Mara nyingi nimekua msomaji tu humu ndani, ila leo kuna topic nimeisoma humu ndani iliyo nishawishi na...
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa...
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa...
Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna...
Paka hutumiwa sana kwenye ulimwengu wa roho kwa sababu ya mchanganyiko wa kipekee wa uwezo wao wa kiasili na imani za kale zinazowaona kama viumbe wanaoishi kati ya ulimwengu wa nyama na roho...
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana
Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani...
Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi.
Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi...
Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ameitaka Wakala ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya marekebisho muhimu ya mradi wa maji wilayani Hanang' baada ya...
Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani.
Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote.
Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa...
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia.
Kufanya kazi kwa bidii peke yake hakujawahi kuhakikisha utajiri.
Jasho peke yake halijawahi kutoa uhuru.
Jitihada peke yake hazijawahi...
BILL GATES: KITAMBULISHO CHA KIDIJITALI KITADHIBITI KILA HATUA YAKO — MWILI WAKO, PESA ZAKO, CHAKULA CHAKO NA CHANJO ZAKO ZITAELEZA KAMA UTAWEZESHWA “RUHUSA YA KUISHI” AU UTAZIMWA!
Gates...
MWANAUME MASKINI HANA NAFASI YA KUFANYA MAKOSA MFULULIZO
Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema.
Ukizaliwa maskini kama mwanaume —
maisha hayatakusamehe kirahisi.
Kwa sababu...
Habari zenu nikirudi bongo nampango wakupitiliza kwenda kisiwani mafia kuishi HUKO naomba nijie yafuatayo.
Starehe lounge na night clubs, utalii, wingi wa watu, ushirikina, networks uhakika...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.
Katika ziara hiyo...
Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah
Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza...
Watu wengine waliuliwa mabarabarani.
Wengine nyumbani.
Wengine walibebwa mahospitalini.
Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini.
Asikudanganye mtu watu waliohusika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.