Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 591
- 546
Ndugu zangu,
Serikali ya CCM imejenga uhalali wake kwa watanzania kwa kuwakinga dhidi ya makali ya ubepari.
Wakati tunaenda World Bank kuomba hela ya Bwawa la Nyerere, tulipewa masharti ya kuhakikisha bei ya umeme ina reflect gharama zote za ujenzi, uendeshaji na faida.
Tukasubiri tuwe na fiscal space ya Trillion 7 kupitia kodi zenu kujenga mradi ambao basically ni ruzuku kubwa ya umeme sababu tunalipa kama nusu ya bei halisi.
Kesho tutakuwa na nafasi ya kipekee kuikumbusha dunia kuwa tunalinda uhuru wetu sio kwa slogan ila maamuzi
magumu.