Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtoto mwenye (10) Elias Mashaka, mkazi wa mtaa wa Rungwa, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amefariki dunia baada kujinyonga kwa kutumia kamba ya neti. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati...
4 Reactions
39 Replies
477 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameeleza mpango wa kuwekwa huduma ya Internet bure katika Shule na Vyuo vote nchini Tanzania kwa ushirikiano na kampuni ya Viatel. Katika kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na...
6 Reactions
27 Replies
399 Views
TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii...
4 Reactions
20 Replies
170 Views
Uhamisho ni haki ya mtumishi wa umma,japo kwa sasa haki hii imepokwa na kunyiwa kupitia mfumo wa ess. Ambapo sasa mtumishi ina muwia vigumu kuomba uhamisho kupitia mfumo huu kwani umewekewa...
4 Reactions
7 Replies
587 Views
True emotional whiplash is running a vast East African realm where the domestic policy is quiet, but the cross-border business imports are shockingly loud. Spare a thought for the realm’s leading...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Tazama uso wa huyu mnyama... 🐒 Nyani huyu anaitwa Bald Uakari, lakini kule Amerika Kusini anajulikana zaidi kwa jina la "English Monkey" (Kima wa Kiingereza). Sababu haina sayansi wala mambo...
2 Reactions
23 Replies
234 Views
Usidharau Mtu Kama Hujatembea Gari milioni 300, mtumbwi milioni 3. Hujui nani atakubeba ukipata tatizo. Kuna jambo moja ambalo maisha yanatufundisha kadiri tunavyosafiri na kukutana na watu...
2 Reactions
2 Replies
71 Views
Jamani , hapo Kweka ataangusha kisago cha haki kabisa!
1 Reactions
11 Replies
274 Views
Ruto, alias Kasongo ana umilia mengi!
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo Nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu
7 Reactions
8 Replies
148 Views
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Fikiria mfanyakazi anayeamka kabla ya jua kuchomoza, anapanda basi lililojaa watu, anafanya kazi kwa muda mrefu, anarudi nyumbani akiwa amechoka, kisha kesho anarudia tena. Katika mji huo huo...
1 Reactions
1 Replies
27 Views
Tumetoka mbali sana ashukuriwe RC mstaafu wa Mbeya RIP Mramba, Waziri Mrema na hata IGP mstaafu Mwema kwa kukomesha ujambazi enzi zile Pale Iringa Kipagati alitusumbua sana Kadhalika Nyau hapa...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Salaam Wananzengo wenzangu. Hawa viongozi wetu wanalipwa mshahara kiasi gani? Gharama za kuendeshea ofisi ( stationary , mafuta ya gari , posho etc) zikoje ? Huwa naona kama wanazunguka sana...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom