funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.
Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.
He knows when to react, What to provoke, how to influence, who to protect and further he embrace, endure and anticipate the future moves of the opponent.
Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.
Mungu amjaalie heri katika kazi yake.