Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maelezo TV LIVE, Dar es Salaam📍 https://www.youtube.com/live/C_Yy9VRcakQ?si=KUqnRpb53TziNXVe
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume...
0 Reactions
6 Replies
83 Views
Hii ni Tanga katikati ya Mji Street no 10, Kata ya Ngamiani Kati kero hii ya maji taka imedumu kwa zaidi ya week sasa, mamlaka husika wana taarifa ila hatuoni utekelezaji, hii ni hatari kwani...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Binyampola amekutwa amefariki dunia katika eneo la Kawe Mzimuni, Dar es salaam, huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana. AyoTV imefika eneo la...
1 Reactions
21 Replies
303 Views
Nina changamoto kwa Kitengo cha Huduma kwa Wateja PPRA na NEST, hawapokei simu kwa wakati na wakipokea hawashughulikii changamoto uliyonayo kwa wakati, tume-upload business lines tangu mwanzo wa...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna kitu huwa kinanishangaza kwenye mijadala ya kidini. Watu wanaweza kumdhihaki Yesu, Muhammad au viongozi wengine wa dini kana kwamba walikuwa watu wa kawaida tu waliopita duniani. Unaweza...
5 Reactions
38 Replies
227 Views
MADENI UNAYODAIWA KIKWAZO KIFUNGO/UTUMWA WA KIROHO NA UNYAKUO "akopaye ni mtumwa wa akopeshaye" Mithali 22:7 Maana na Ufafanuz "Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake...
0 Reactions
3 Replies
38 Views
Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama. Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda...
0 Reactions
22 Replies
201 Views
Mradi wa Machinjio ya Ngelewala umefikia hatua ya kuanza kutoa huduma baada ya mashine za kisasa za kuchinjia kufungwa. Mradi huo unalenga kuboresha huduma za uchinjaji, kuimarisha usafi na...
0 Reactions
5 Replies
39 Views
Watu wanahangaika mtaani wasijue la kufanya. Watu wamesomea lakini hakuna ajira, Watu wanatumikishwa kama wanyama, kwa kipato kwa ajili ya pango na chakula Omba omba mtaani nao hawakatiki, ila...
6 Reactions
25 Replies
192 Views
'LULU' ALIKUWA AKILINDWA NA KOMANDO? Huyu ndiye Senelisiwe Magagula, aliyekuwa msaidizi binafsi (mlinzi) wa Lucy Muteke (Lulu) aliyekuwa mke wa Wicknell Chivayo. Magagula alikuwa miongoni mwa...
18 Reactions
110 Replies
2K Views
Kuna kizazi cha vijana wenye miaka 32,33, 34, 35 na 36 ambacho kwa kweli kinanishangaza.Wengi ni smart sana darasani na ni watulivu sana wana nidhamu fulani sio haba na wana degree zao na...
14 Reactions
49 Replies
774 Views
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba. Ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto. ======== POLISI mkoani Dar es Salaam wamekamata mafurushi ya mifuko yakiwa na viungo...
2 Reactions
501 Replies
115K Views
Habari wakuu, Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju. Polisi...
0 Reactions
176 Replies
43K Views
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao. Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo. Inauma sana...
11 Reactions
439 Replies
101K Views
Yani ni hivi,unaona kabisa mwenzio anafanya kitu kinampa madhara au majuto.Anafanya tendo ambalo mwisho wake sio mzuri.maamuzi yake yanamponza.Wewe unashuhudia kabisa alichofnaya sio busara na...
11 Reactions
63 Replies
349 Views
Akizungumza katika Baraza la Vyama vya Siasa Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Aggrey Mwanri, leo Oktoba 7, 2026 amesema kuwa kunapokosekana Jukwaa la Vyama vya Siasa kuzungumza, baadhi ya watu...
2 Reactions
10 Replies
182 Views
"akopaye ni mtumwa wa akopeshaye" Mithali 22:7 Maana na Ufafanuz "Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye*" • Hali ya Deni: Linamaanisha kuwa mtu anayekopa anajifunga...
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Kamata-kamata ya Bodaboda na Bajaj mitaa ya Kariakoo kuna double standards, zipo zinazoachwa kwa wanaotoa kitu kidogo lakini zingine zinabebwa. Meza bado zimepangwa njiani...
0 Reactions
4 Replies
71 Views
Back
Top Bottom