Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika...
SAUDI ARABIA
Mtu huyu alikuwa na mabishano huko Facebook.
Waislamu wengine mtandaoni walimtukana mungu wake wa Kihindu, kwa hivyo yeye, naye, alimtukana muhammad.
Wale aliokuwa wanabishana nar...
Vijana wa kisasa, anasoma chuo, akifika mtaani anataka kuoa, hapo hajapata kazi, anaanza kusumbua watu wote wa phone boook yake. Kijana huyo, anataka harusi sawa na mtoto wa GSM, anaishia kupata...
Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako
Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa...
Salama wakuu?
Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na...
Tanzanian music artist and Journalist Civilian-Coin Nalimi Kisandu, popularly known as CIVILIAN-COIN, recites his poetry in an "African-English Rap" style. Born and raised in the Kahama District...
huyu jamaa kwanza huwa anakuja kwenye 30 ya bongo flava kama nani? Siyo muimbaji anakuja kutoa maneno ya kebehi au dharau kwa ma legend wetu wa bongo flava na kujiongezea umaarufu binafsi...
Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama....
Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma...
Kuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:
Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa...
Nyoka ni aina ya viumbe watambaao wasioeleweka zaidi duniani, lakini wana jukumu muhimu katika kudumisha usawa wa ikolojia.
Kiuhalisia kuna zaidi ya aina 3,000 za nyoka duniani kote, na wengi...
Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili .
Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya...
Logo ya Dao System, " Dao" ni programu fupi ya mazoezi ya kujilinda, ambayo ilianzishwa nchini tanzania na mwl. Mazeru mwaka 2015.
Kwa lengo la kuipatia jamii uwezo wa kujilinda dhidi ya...
Hii ni picha iliyopigwa na Mtalii aliposimamishwa na Afisa wa Uhamiaji kwa Ukaguzi, baada ya kuwaomba passport zao aliwadai rushwa ya Shilingi laki 3, kwa kuwa alidai waliacha passport zao...
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira...
Dotto Magari pamoja na kuwa mtu mjinga na chawa mkubwa wa CCM na Samia ila katika suala la ushoga ana msimamo sahihi kwa 99% kuliko Watanzania wengi hata wale wenye digrii tatu.
Tatizo upande wa...
Ndege iliyotajwa kuwa Embraer 125, yenye usajili 5H-HLL, imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo, Oktoba 4, 2026, baada ya kuripotiwa kupata hitilafu kwenye...
Wafanyakazi wa Exim Bank Tanzania wakiongozwa na Afisa Mtendaji wa Benki hiyo, Jaffari Matundu, wakishiriki matembezi ya huduma kwa wateja 2026 jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha...
Usiku mwema.
Kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja: gharama ya kubadilika ni kubwa, lakini gharama ya kubaki pale pale ni kubwa zaidi.
Watu wataona kimya chako, watadhani umepotea.
Wataona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.