Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo
Udaktari
Ufundi kama tanesco
Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi
Polisi
Wanajeshi
Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa...
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya...
Fikiria mfanyakazi anayeamka kabla ya jua kuchomoza, anapanda basi lililojaa watu, anafanya kazi kwa muda mrefu, anarudi nyumbani akiwa amechoka, kisha kesho anarudia tena.
Katika mji huo huo...
Tumetoka mbali sana ashukuriwe RC mstaafu wa Mbeya RIP Mramba, Waziri Mrema na hata IGP mstaafu Mwema kwa kukomesha ujambazi enzi zile
Pale Iringa Kipagati alitusumbua sana
Kadhalika Nyau hapa...
Salaam Wananzengo wenzangu.
Hawa viongozi wetu wanalipwa mshahara kiasi gani? Gharama za kuendeshea ofisi ( stationary , mafuta ya gari , posho etc) zikoje ?
Huwa naona kama wanazunguka sana...
Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani.
Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona...
Hi!
Msije kusema sijawashauri mapema.
Kero za kuajiriwa local government;
1. Unakuwa na mabosi wengi.
Yaani wewe unakuwa na mabosi karibu 10. Full of stress.
2. Maslahi duni.
Utagombana na ndugu...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi...
salamu wana bodi
leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi.
kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu...
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa...
Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa...
Takribani Shule za sekondari 413 zimefungwa kutokana na maandamano ya wanafunzi nchini Ufaransa.
Chanzo ni madarasa yenye wanafunzi wengi, ukosefu wa walimu, na majengo yaliyochakaa baada ya...
UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri...
🐍 UKIMKUTA NYOKA KARIBU NA BANDA LA KUKU, USIFANYE HIVI! 🚨
Nyoka anaweza kujitokeza karibu na banda la kuku, hasa maeneo yenye vichaka, magugu, mabaki ya mbao, mawe au panya. Wafugaji wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.