Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 17,099 Reaction score 55,078 Aug 22, 2026 #1 nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya. mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa. I'm out #Kisasi ni haki.
nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya. mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa. I'm out #Kisasi ni haki.
Mdigokhan JF-Expert Member Joined May 2, 2022 Posts 994 Reaction score 2,335 Aug 22, 2026 #2 Utakuwa Huna kazi za kufanya kama Kila baya unataka kulipiza na unaichungulia jela au kifo..