Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar. Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo. Ikumbukwe...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya...
3 Reactions
17 Replies
327 Views
Tangu Septemba 8, 2026, zaidi ya Ofisi 100 za Mawakala wa mabasi zilizopo CBE, Area C, Maghorofani, Bahi Road zimefungwa, shughuli zimesimama kwa zaidi ya Saa 60 sasa, cha kushangaza, ofisi hizi...
1 Reactions
5 Replies
232 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa wito kwa Afisa Habari kuhakikisha wanatoa taarifa zenye tija...
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Habari wadau, Binafsi huwa najiuliza sana kuhusu biblia na sisi waafrica, mfano mimi mmasai je barua ya wakorintho inanihusu nini mimi mmasai ? Barua ya wafilipi inanihusu nini ? Fikiria...
11 Reactions
42 Replies
424 Views
Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita, Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni...
1 Reactions
3 Replies
101 Views
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati...
2 Reactions
1 Replies
55 Views
Kuiba ni kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake. Kampuni ya Vodacom mnaiba kupitia songesha. Mtu anakuwa hajaomba kusongesha lakini anashtukia anapata ujumbe kuwa kiasi fulani kimekatwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Kujiuzulu kwa Jacob Coxon Mvutano kuhusu kasi kubwa ya maendeleo ya akili Unde (AI) umefikia hatua nyingine baada ya mtafiti maarufu kujiuzulu kutoka maabara ya AI ya Anthropic, akizishutumu...
3 Reactions
15 Replies
332 Views
Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa...
2 Reactions
16 Replies
210 Views
Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima...
2 Reactions
0 Replies
59 Views
Wakati mwingine tunashindwa kupata amani katika maisha ya sasa kwa sababu akili zetu bado zinaishi kwenye yaliyopita. Kuendelea kurudia yaliyotokea, au kujuta hakubadilishi matokeo; kunachukua tu...
1 Reactions
7 Replies
112 Views
Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona...
4 Reactions
30 Replies
321 Views
Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi. Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo. Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika...
5 Reactions
21 Replies
206 Views
Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka...
7 Reactions
50 Replies
360 Views
  • Redirect
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Conrad Agonza Kahyoza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam, leo Septemba 10...
1 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom