Vifo vya polisi vimefuatana jamani! huyu ni watatu kifo chake ni cha ajali ya kugongwa na pikipiki
Pia namuonea huruma sana huyo dereva boda maana anakesi kubwa ya kujibu Mungu amsaidie tu...
Ni kweli kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kusomea udaktari wengi wao huwa na ufaulu mkubwa/mzuri wa masomo yote hasa ya sayansi kwa kifupi ni wale ambao kichwani zipo ama ni wale waliokuwa vipanga...
Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugalo
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za...
Prince George ameanza rasmi masomo yake katika Eton College, shule maarufu na yenye historia kubwa nchini Uingereza. George mwenye umri wa miaka 13 alifika shuleni akiwa ameambatana na wazazi...
Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani
Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu.
1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya
Ndoto...
Huyu jamaa inaonekana maisha yake nnje ya bunge na uwaziri ni magumu sana, ukiingia kwenye page zake za Mitandao kakaa kisani sanii , Huwa anawatu wake wa kumrekodi akiwa anact usanii, na...
Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani.
Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu...
Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye...
👉 Mzozo wa urithi wa kiti cha Ufalme wa Tooro nchini Uganda umeibuka siku chache kabla ya mazishi ya aliyekuwa Mfalme Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, huku familia ya kifalme ikipinga uteuzi wa...
Barabara ya kutoka mwembe ladu mataaa kupanda mwembe mimba, kulikua na majengo mawili ya wazee wa ccm, yana maduka na maskani ya kuangalia mpira na habari, amani fry over majengo ya ccm zaidi ya...
Wakuu kwema,
Leo Airtel wamezima mtandaoni wa Internet kwa watu wote wanaotumia rooter zao nauliza mtu ameweka bando unlimited wewe unamzimia bila maelezo yoyote na je Kuna compensation yeyote...
Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria...
Tatizo la Babeli lilikuwa nini hasa hadi ukaandikwa kwenye maandiko ya Biblia kuwa ni mji wa mfano wa machukizo na uasi mpaka leo hii waamini wa Biblia wanaamini hivyo?
Je hazikuwa bifu tu za...
Wakuu hii kozi ikoje huko SUA? Inatoa watu competent? Au ni bora mtoto akaenda kusoma tour guide kwenye vyuo vilivyo chini ya VETA? Bachelor in Tourism Management ina soko kwenye ajira? Je inaweza...
Tumeishasikia wataalamu wa hali ya hewa wakisema El Niño kali yaja. Na wameonya tayari kwamba El Niño ya mwaka 2026 imeimarika na inatarajiwa kuwa na nguvu sana. Hali hiyo inaweza kusababisha...
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake...
Kwasa ieleweke mapambano dhidi ya ukimwi hatawezi kumalizwa na upande mmoja peke yake, nijambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote katika utafiti wangu nimebaini wanawake wanahofia labda mimba...
Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake?
Mimi naona kama mwanamke...
Alianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.