Vodacom mnaiba kupitia songesha

Vodacom mnaiba kupitia songesha

kachwankizi

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
83
Reaction score
129
Kuiba ni kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake.

Kampuni ya Vodacom mnaiba kupitia songesha. Mtu anakuwa hajaomba kusongesha lakini anashtukia anapata ujumbe kuwa kiasi fulani kimekatwa kwa ajili ya songesha. Rejea mlio wakata leo bila kuomba hiyo huduma na mimi ni miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom