Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa...
Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa...
Aliyefariki kwa kuongeza uume, ameripotiwa kuwa alifanya taratibu hizo za kuongeza uume mara 5 kati ya mwaka 2024 na 2026.
Igho "Tiny" Ubiribo, raia wa Nigeria na Influencer aliyeishi jijini...
Huku kitaa hali ni mbaya na tunashindwa kutambua je vinywaji hivi ni fake au havina ubora wa viwango haiwezekani kinywaji kimoja kikawa na radha mbili tofauti au kukosa kile kilevi chenye wewe pia...
Mji wa Mangaka na maeneo jirani sasa kunufaika na mradi wa maji wa mji 28 uliofanikishwa na Serikali ambapo hali ya upatikanaji wa maji kwa wananchi ni hakika asilimia 100 kutoka asilimia 20...
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa...
🔥 KWANINI WATU WANATESEKA NA ROHO ZA MADENI?
Andiko la Msingi:
📖 Mithali 22:7 — “Tajiri humtawala maskini, naye akopaye huwa mtumwa wa akopeshaye.”
1️⃣ Laana au Misingi ya Familia
Wakati...
Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za...
Polisi hawajijui.
Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii.
Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa...
1.Kigogo
2.Mboe
3.Zito
4.Shangazi
Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur
Cjui kwa sasa Nini Kimetokea.
Asali tamu sana
Mtume Kuna miujiza?
Nini kimetokea ,,,,,,,>mama...
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja...
Nakuandikia ujumbe huu kwa nia ya kuonyesha hisia zangu za dhati na pongezi kubwa kwako. Hakika umekuwa kielelezo cha mwanamke shujaa, mwenye akili nyingi, msimamo thabiti na uzuri wa kipekee...
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti
"Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje...
Mimi sipo nchini ila mnapo futa ila tambueni mpo kwenye list.
Na hawa mnao wapa nafasi kwenye jukwaa ndio waliopo kwenye list.
Tupo mbali ila list ya watu ni nyingi nyie bisheni ila mwisho wa...
Ukosefu wa weledi katika kutekeleza majukumu ya kusimamia usalama barabarani yaliyowahi kuleta majanga:
Mamlaka za usalama barabarani zipo chini ya kikosi cha usalama barabarani (Trafiki)
Pamoja...
Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;-
Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani,
Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali,
Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.