Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria...
Harakati za mrithi wa 2015 zilianza 2011 baada tu ya JK kuingia madarakani. Harakati za mrithi wa 2030 zimeanza.
Coincidence
Michezo ya kupeana sumu.
Tumesikia hizi tetesi, hazijaanza leo...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye...
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.
Pambana...
Shirika la hali ya hewa la Umoja wa Mataifa limetoa onyo kali kuhusu hali ya hewa ya El Niño, likisema inaongezeka kwa kasi na huenda ikawa tukio lenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
Wakuu,
Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao.
Hapa naomba nieleweke kwamba...
Hivi kweli hizi dawa za kuoga zinaweza kuleta maajabu au matokeo yoyote mtu anapotumia kwa kuzioga mfano kama kusafisha nyota n.k au ndo unaweza hata kuoga bahari zote mpaka zikaisha ila mambo...
Professor PLO Lumumba left the stage at a Kisumu conference after being asked to pause his speech for the late arrival of Kisumu Governor Anyang’ Nyong’o.
The incident occurred during the 18th...
Habari za wakati ndugu zangu, Poleni sana na mahagaiko katika upambanaji wenu , wakuu
Niende kwenye mada yangu natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha wanapatikana wapi? Maana napitia...
Ukweli usemwe tu,
Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra..
Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku...
Cha bure gharama
Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA
TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA
MAENEO TAJWA
NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
Kwa sasa betting addiction ni Moja ya janga la KITAIFA haswa Kwa vijana wa Genz .
Serikali idhibiti betting mapema. Uraibu wa betting umeanza kuwa janga kubwa la kijamii, hasa miongoni mwa vijana...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa kuwa mahakama imepiga chenga ya mwili juu ushahidi wa Samia, Mpango na Majaliwa basi na Tundu Lissu naye apige chenga ya mwili juu...
Wasalaam
Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake.
Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika:
"Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi...
Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii...
Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya...
Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.
Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.
Ikumbukwe...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.