Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umoja wa Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani nchini umemtumia salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Marehemu Hafidh Ameir...
2 Reactions
1 Replies
122 Views
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimepokea taarifa kuhusu tukio lililotokea tarehe 8 September 2026 katika eneo la Lugalako, Kinondoni, Dar es Salaam, linalomhusisha Dkt. Conrad Agonza Kahyoza...
20 Reactions
52 Replies
2K Views
Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini. Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja...
2 Reactions
15 Replies
373 Views
Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu...
3 Reactions
8 Replies
148 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka kujiandaa ili kuzuia na kupunguza athari zinazoweza...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
  • Redirect
🔥YADI INAUZWA IPO MANDELA ROAD IPO MAIN ROAD UMILIKI ni HATI SAFI KIWANJA ni (SQM 1900) 👍Price (Billion 3) 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717#viral #instagram #realestate #tiktokviral #dalali
0 Reactions
– Replies
– Views
Kituo cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kinachopangwa Morogoro kinafungua fursa mpya katika sekta ya usafirishaji, kwa kuwezesha magari na vyombo vingine kutumia nishati mbadala yenye gharama...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Polisi mnafanya kazi njema, TRA mnasaidia kukusanya mapato. 1. Polisi, kwa kushirikiana na TRA tunaomba kanuni za kulazimisha Pikipiki zote na Bajaji na Maguta kuweka plate number kwa mbele...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Anonymous
Meneja Mpya wa Jengo la RITA TOWER lililopo hapa Dar amekuja ameondoa sinks za kunawia na mifumo ya maji vyooni, sehemu za kunawia kwa ajili ya maboresho lakini hadi sasa ni wiki ya NNE hakuna...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
96 Views
Nimefanya research yangu ndogo wakitoka Wasukuma, watu Arusha (Chuga) ndio wanafata kwa ushamba.
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia...
18 Reactions
64 Replies
2K Views
Haya hapa maelezo kwa ufupi (njia ya picha) juu ya maana, inavyotokea, madhara, na tahadhari juu ya El niño.
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Nami pia naongezea Mali nyingine au Utajiri mwingine wa Rais wa Kenya Ruto ambayo ni Kampuni kubwa ya Mafuta ya Stabex ambayo inafanya vizuri sana nchini Uganda.
1 Reactions
2 Replies
158 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. I'm just asking out of curiosity, kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu/mkuu wa mkoa?? Tunaona wabunge wa kuteuliwa ila madiwani wa...
1 Reactions
9 Replies
66 Views
Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ? Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida...
5 Reactions
58 Replies
516 Views
Mimi nilijua tunaweza kusamehe kumbe wakulungwa msamaha umekaa kushoto kabisa angalia picha hapa chini
1 Reactions
2 Replies
87 Views
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu. Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Back
Top Bottom