Mimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita.Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
Nenda TMJ pale jirani na Aghakan shuleniMimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita.
Nenda muhimbili